Wazungu waanza kuambiana ukweli

Mkuu,

Hata hiyo soka ni mchezo wa Waingereza.

Sasa si mngeikataa nayo katika kuonesha hamzikubali tamaduni zao?

Kwa sasa naona mnawakataa kwa ile methali ya Kiswahili ya "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Kuwakataa mnataka. Kuwakubali mnataka.

Hamjielewi mnataka nini.
 
Sawa hatujui soccer chanzo chake ni nn? Mpaka sasa maana wengi wanadai sijui ni mtume fulani alikatwa kichwa watu wakaanza kupiga mateke kile kichwa chake ndo ikawa kama soccer ⚽ hyo ni myth sijui ni kweli au laah.

Hosting Ina mambo mengi haswa faida za kibiashara na kujitangaza wao kama wao duniani ,dhumuni wao kujitangaza na sio wengine ndo maana wamehonga dosho kubwa je kwamba wanaban bia ila Wana vinjwaji vyao watakavyouza unajuaje?

Ishu iko kiuchumi zaidi soka ni mahali popote pale dunia na unavyoona dunia maovu yote na tamaduni na ustaarabu kuanzia elimu ,ujuzi, michezo karibia vyote vimeanzisha Asia ndo sehemu zimelenga historia ya miaka mingi ...huko kwingine waliinvest na kuendeleza katina hali ya kisasa zaidi.

Ndo maana hao watu wa Asia wanamiliki vilabu huko uingereza.
 
Hujaelewa wewe yaan pombe sio ruhusa viwanjani tu ila kuna sehem maalum ni ruksa kuidinya utakavyo
Hilo nalijua.

Lakini hapa mjadala ni habari za uwanjani.

Hiyo mikataba niliyoitaja ni mikataba ya uwanjani, si sehemu maalum.
 
😂😂😂😂
 
Soccer as it is played today ni mchezo wa Waingereza.

Wao ndio walioweka sheria za kucheza, walioanzisha Football association ya kwanza etc.

Kwa hivyo, ukicheza soccer leo, hii ya FIFA, unacheza mchezo wa Waingereza.

Sasa habari ya kushadadia unapinga utamaduni wa kigeni wakati unafurahia kucheza soka ni contradiction.


 
nyie si mnasema mpira ni dhambi? tatizo mmejawa na unafiki
 
Hilo nalijua.

Lakini hapa mjadala ni habari za uwanjani.

Hiyo mikataba niliyoitaja ni mikataba ya uwanjani, si sehemu maalum.
We ulikuwepo wakati wa kusain huo mkataba au kwamba wao na FIFA hawajui sheria ya mikataba?
 
UHUNI MKUBWA HUU, KWANINI HAWAKUTAMKA HILI AWALI?, HAPA QATAR NI LAZIMA IPIGWE FAINI YA KIHISTORIA KUFIDIA HASARA HII, WALIPE NA BIA ZOTE ZILETWE HAPA TANZANIA TUZINYWE.
 
UHUNI MKUBWA HUU, KWANINI HAWAKUTAMKA HILI AWALI?, HAPA QATAR NI LAZIMA IPIGWE FAINI YA KIHISTORIA KUFIDIA HASARA HII, WALIPE NA BIA ZOTE ZILETWE HAPA TANZANIA TUZINYWE.

 
Wangekuwa na msimamo wangesema mapema wakati wanaomba ku host kwamba pombe na hayo mambo mengine hayataruhusiwa, hiki wanachofanya sasa ni janja janja kama ile ya matajiri wadhulumaji wa nyumba na viwanja ambapo wana mset mwenye mali kwa madeni ya kijanja mpaka anashindwa kulipa kisha wanabeba nyumba.
[emoji23][emoji23]Ngoja tusubiri ila unaweza kuona Wana msimamo kiasi fulani ,huwezi tambua nn kinawapa jeuri sisi kibongobongo hatuna jeuri hiyo.
 
Kwani lazima kuwepo ili kuweza kufuatilia?

Kwani wewe upo na mimi hapa kujua kwamba mimi nipo kweli ili ujadiliane nami?
Kwahy wataka kuniambia hao FIFA waliokubali hawajui sheria ya mikataba unajua wewe uliokuwa huko sambulachore mwisho wa upepo sio?
 
Kwa nini unafikiria watu wote bilion 8 duniani wanaweza kuwa mashoga na wasagaji ?
 
Mashoga elfu sitini waingie kwenye Uwanja mmoja si utakua na harufu ya toilet, au watajipiga perfum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…