jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwa waislamu michezo ni haramu.Mkuu,
Hata huo mchezo wa soccer si utamaduni wa Waarabu.
Huo ni mchezo uliotokea Uingereza.
Sasa, huoni kwamba hata huo mchezo kwenda kufanya World Cup Qatar ni kuruhusu kusambaa kwa ustaarabu wa Muingereza Qatar?
Kwani Waarabu hawana michezo yao?
Kwa nini wanaruhusu michezo ya Waingereza Qatar iende kusambaza utamaduni wa Waingereza?
#MaendeleoHayanaChama