Wazungu waanza kuambiana ukweli

Wazungu waanza kuambiana ukweli

Kama gay hawakubaliki huko Qatar, kwa nini wanalialia.......they are doing an abomination na bado wanataka kuwa recognized! wakae hukohuko ambako wameruhusiwa, siyo kulazimisha kwenda kuchafua jamii za watu wengine...
My point is not even gays being allowed in Qatar.

My point is the gay swagger jacking hypocrisy and contradiction.

But I don't expect you to understand that.

That would be expecting too much.
 
Ona ulivyo mwehu! Umesoma wapi wazungu wanasema waligundua maziwa yetu miaka 3000 iliyopita?

Media wasingeanza kumuhoji Infantino kuhusu ukilaza wake kwani hoja iliyopo ni nchi ya Qatar haikustahili kupewa hadhi ya kuandaa mashindano ya kombe la dunia.
Wewe kweli hauna kitu kichwani sasa Qatar walipewa na nani? miaka 12 yote toka wamepewa mlikuwa wapi? huyo anayestahili ni nani? hata South Africa alivyopewa hao hao jamaa zako walipiga kelele mwisho wa kakaa kimya. Kitu kizuri ni England kutolewa tupumzike na kelele zao hizi, badala ya kupambana na njaa zao huko wivu kwa jamaa. Issue yote Qatar hajawapa deal yoyote ya biashara na hao mbwa wa ndio wamejaa huko wanafanya kazi leo wanjifanya wanaonea huruma wahindi wakati kwao tu walitaka kuwapeleka Rwanda, wanafiki wakubwa
 
My point is not even gays being allowed in Qatar.

My point is the gay swagger jacking hypocrisy and contradiction.

But I don't expect you to understand that.

That would be expecting too much.
Uko sahihi, hayo matakataka ya ushoga siwezi kuyaelewa kiundani.......paruaneni tu huko wenyewe devil worshipers.
 
Mambo mengine yanashangaza kweli aisee , kule Qatar watu wameenda kucheza Mpira , lakini wanashadadia pombe kama wameenda kule kunywa pombe na kufanya ufirauni mwingine , kana kwamba pombe na ufirauni ndio vimewapeleka kule , wamesahau kua Mpira ndio umewapeleka kule
Hata kama hafla ni ya mpira, hauna hakika kama wameenda kuangalia mpira au mpira ni kisngizio cha kupata visa.
 
We ulikuwepo wakati wa kusain huo mkataba au kwamba wao na FIFA hawajui sheria ya mikataba?
Pombe inaweza ikaruhusiwa, lakini muuzaji akakosa. Kumbuka Qatar ni nchi ya Kiislaamu. Wafanya biashara ndogondogo wote ni Waislamu. Waislamu hawanywi wala kuuza pombe, sasa mnataka pombe viwanjani atawauzia nani? Mbona kuwenye michezo ya mpira nchi nyingi hukataza vilevi uwanjani, kwa nini mnahoji kukosekana pombe Qatar as if pombe ni shemu kubwa ya mchezo wa soccer.
 
Soccer as it is played today ni mchezo wa Waingereza.

Wao ndio walioweka sheria za kucheza, walioanzisha Football association ya kwanza etc.

Kwa hivyo, ukicheza soccer leo, hii ya FIFA, unacheza mchezo wa Waingereza.

Sasa habari ya kushadadia unapinga utamaduni wa kigeni wakati unafurahia kucheza soka ni contradiction.

Si kila utamaduni wakigeni unakataliwa Qatar but ule utamaduni unaoenda kinyume na values na morals zao.

Sio kila kitu Cha mzungu kibaya but baadhi kama ushoga, pombe, fornication etc
 
Uko sahihi, hayo matakataka ya ushoga siwezi kuyaelewa kiundani.......paruaneni tu huko wenyewe devil worshipers.
Devil hayupo, ni ujinga mwingine huo.

Ukibisha thibitisha.
 
Si kila utamaduni wakigeni unakataliwa Qatar but ule utamaduni unaoenda kinyume na values na morals zao.

Sio kila kitu Cha mzungu kibaya but baadhi kama ushoga, pombe, fornication etc
Pombe Qatar mbona inakubaliwa pia.

Contradictions tupu.

Ukijiona nchi yako inataka kushikilia sana utamaduni wake na kuacha kuingiliwa na tamaduni za wengine, usiombe ku host World Cup.

Ukiomba ku host World Cup, maana yake ukubali kuwa Cosmopolitan.

Qatar inataka kuwa nchi ya kileo na yenye ushawishi kimataifa, halafu hapohapo inakataa gharama za nchi kuwa nchi ya kileo yenye ushawishi wa kimataifa.

Contradictions.
 
Waheshimu tu hizo Sheria, just for few days
 
Kwasababu wewe unafikiria ule mchezo wa kizungu unaowakilishwa na zile Rangi za upinde wa Mvua unaufanya wewe

Hawa tuwapige marufuku kutumia upinde wa mvua wetu. Wabuni alama yao.
 
Kwasababu wewe unafikiria ule mchezo wa kizungu unaowakilishwa na zile Rangi za upinde wa Mvua unaufanya wewe
Ulizia vizuri wanaoenda kufanya kazi za ndani arabuni wanavyolawitiwa usipime! Kinguvu afadhali mzungu anatogoza
 
Mambo mengine yanashangaza kweli aisee , kule Qatar watu wameenda kucheza Mpira , lakini wanashadadia pombe kama wameenda kule kunywa pombe na kufanya ufirauni mwingine , kana kwamba pombe na ufirauni ndio vimewapeleka kule , wamesahau kua Mpira ndio umewapeleka kule
Kwani zile ni sherehe za madrasa?
 
Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
mna akili fupi ndio maana hamtakuwa huru kifikra mwenzenu kaongea ili kuwafanya nyiny pro ukolon msidhanie kuwa wazungu wanaunga mkono mnayoyachukia ila im reality huyo hapingi lolote kuhusu wazungu baada ya WC kuisha muombe arudie hayo maneno
 
Mambo mengine yanashangaza kweli aisee , kule Qatar watu wameenda kucheza Mpira , lakini wanashadadia pombe kama wameenda kule kunywa pombe na kufanya ufirauni mwingine , kana kwamba pombe na ufirauni ndio vimewapeleka kule , wamesahau kua Mpira ndio umewapeleka kule
muda wote wapo uwanjan sio ?
 
Hao takataka wanaharibu sana tamaduni za watu.

Walitakiwa waachwe wajipeleke na ufirauni wao wakikutwa Huko wakatwe hizo shingo zao zisieleweka kama ni za kiume au za kike.

Huu utamaduni wa wazungu ni mbaya sana na kibaya zaidi wanatumia gharama kubwa na nguvu kubwa kuueneza.
Watu wema wasipokuwa makini waovu ndio wanaotaka kushika hatamu ya kila kitu huku wakitumia fedha kurubuni watawala na mashirika ya kutetea haki za shetani kuishi na wanadamu.

Hawapaswi TU kutengwa Bali hata kuomndolewa harakaharaka kabla ya hawajakimaliza kizazi cha kesho. Watu wote wakiwa mashoga na wasagaji kama wanavyotaka Dunia itakwenda wapi ? Yani wazazi wao wangekua mashoga wao wangetoka wapi?

Hawa mashoga ni watu wasio na huruma Wala mipango ya Kesho ya Dunia mana wanatamani watu wote wawe mashoga na wasagaji kama wao ili Dunia ifikie mwisho ibaki na wanyama TU binadamu atoweke Duniani. Sasa kuwahurumia watu kama Hawa ni kumhurumia shetani.
Hawa dawa yao ni Moja TU kupigwa vita kubwa sana kila mahali .
Sijawai fuatwa nyumban kuhubiriwa ushoga au utamaduni wa wazungu , ni nyiny viherehere vyenu mnaoish kwa kuoga na ndo nyiny mnasema wanasambaza wkt mnajipeleka kuangalia mambo yao tena bila kuombwa
 
Kwani hujui sheria za Qatar? Kwamba wabadili sheria zao kwa kitu cha mwezi mmoja hapa bongo miaka 60 tangu uhuru bado katika ni ile ile [emoji23][emoji23][emoji23].
vingine havipo kweny sheria ndio maana wametumia neno tamaduni sio sheria
 
Swagger jacking ni kitendo cha mtu kuiba swagger ya mtu mwingine. A special sort if "culture appropriation".

Yani, mtu si gay, ameshiriki katika kuhakikisha gays wamefunikwa huko Qatar.

Halafu anakuja bila aibu anajifanya amesimama na ushirikiano na gays anajiona na yeye kama gay.

Ameyatumia maumivu ya gays kutengwa kwa faida yake ya kisiasa, kibaya zaidi, na yeye kashiriki katika kuwakandamiza hao gays wafunikwe kama wakoma huko Qatar.

Yani hata kama mtu hukubaliani na gays, unatakiwa uone kwamba huyu jamaa ana hadaa ya hali ya juu.

Bora asingewataja tu hao gays akasema tu mambo kivyakevyake.

Yani haiwezekani yeye mtu mmoja awe kiongozi wa FIFA iliyokubali gays wapigwe marufuku World Cup, halafu hapo hapo anajidai kusimama pamoja na gays.

It is sheer hypocrisy.
Kama mwenzao vile.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom