Wazungu waanza kuambiana ukweli

Wazungu waanza kuambiana ukweli

Huyo mjuaji wa JF hawezi kukuelewa,hua anajikoki kubishana badala ya kueleweshana,akili yake hua inamuongopea kua yeye anajua kila kitu hapa JF na kingereza chake kama cha wafanya mazingaombwe wa zamani.
waarab weng mashoga ila hawatak tu kuwatambua , nmeona documentary moja ya vijana wanatoa ndogo ili waish huko Dubai
 
Kuna dini halafu kuna utamaduni hvyo ni vitu viwil tofaut ukisema utamadun bc hata kuvaa surual ni utamaduni wa wazungu na utamaduni wa waarabu ni kuvaa kanzu,
swali: sisi tusiovaa kanzu tunavaa surual sio waislam?
Waarabu mashoga sana , hata hii mechi ya ufunguz nmewaona wawili ila wamevaa kanz
 
Mambo mengine yanashangaza kweli aisee , kule Qatar watu wameenda kucheza Mpira , lakini wanashadadia pombe kama wameenda kule kunywa pombe na kufanya ufirauni mwingine , kana kwamba pombe na ufirauni ndio vimewapeleka kule , wamesahau kua Mpira ndio umewapeleka kule
Usiwapangie watu maisha , mpira ni starehe na inaambatana na starehe nyingine ,kama wewe hupendi fvck off , hao Qatar walilazimishwa kuomba kuandaa mashindano , yaani unaoenda pesa za wageni halafu unataka kuwapanda kichwani kuwapangia maisha , hivyo vichwa vyenu vimebeba uji wa ulezi au
 
Labda nikuulize wewe , kama unayo hayo marinda , mm baba yangu ameshatangulia mbele ya khaki kazi kwako Sasa wewe uende kumuuliza huko aliko

Licheki kwanza Domo bayaaa
ata ww km vile ushatatuliw
 
Unapoenda kwenye nchi ya mwenzako jaribu kuheshimu taratibu za nchi husika huo ulevi na kufumuana mitaro subiri ukirudi kwenu
We naye fala tu ,kuna nchi zina mashoga zaidi ya hizo za uarabuni hapo ? ,Au hayo magauni meupe na sanda nyeusi wanazovaa vinakupa upofu ?
 

Worldcup ya ufaransa mwaka 1998 ilikuwa ni marufuku kuingia uwanjani na Pombe au umelewa, Sasa huko Qatar wazungu hawahawa wanataka pombe iuzwe viwanjani kabisa?
 
Wamemalizana na gays, wanakwenda kwa Jews.

Africans beware.

The Jerusalem Post: Qatar won't allow any cooked Kosher food and public Jewish prayer.
Ni campaign tu ya kujaribu kudiscredit mashindano, maana Qatar kaweka mashindano ya kiwango cha aina yake, kuna nchi ziwaonea wivu
 
Back
Top Bottom