Swagger jacking ni kitendo cha mtu kuiba swagger ya mtu mwingine. A special sort if "culture appropriation".
Yani, mtu si gay, ameshiriki katika kuhakikisha gays wamefunikwa huko Qatar.
Halafu anakuja bila aibu anajifanya amesimama na ushirikiano na gays anajiona na yeye kama gay.
Ameyatumia maumivu ya gays kutengwa kwa faida yake ya kisiasa, kibaya zaidi, na yeye kashiriki katika kuwakandamiza hao gays wafunikwe kama wakoma huko Qatar.
Yani hata kama mtu hukubaliani na gays, unatakiwa uone kwamba huyu jamaa ana hadaa ya hali ya juu.
Bora asingewataja tu hao gays akasema tu mambo kivyakevyake.
Yani haiwezekani yeye mtu mmoja awe kiongozi wa FIFA iliyokubali gays wapigwe marufuku World Cup, halafu hapo hapo anajidai kusimama pamoja na gays.
It is sheer hypocrisy.