Wazungu wahamasishwe kuzaa sana, kugoma kuzaliana kwa wingi kuna hatari mbeleni dunia itajaa wajinga watupu

Wazungu hawataki kuzaliana sababu hii uharibifu wa mazingira na joto kuongezeka duniani kumeifanya future ya dunia kuwa very uncertain
 
Yaani sisi Ni WAISRAEL?HOW?Hebu acha kabisa huu upuuzi..
Suleiman na Ayubu waligundua Nini?
Unabisha !!?

Jamie ya waisrael ni mchanganyiko ya watu weusi KWA wekundu na weupe!

Yakobo ambaye ndio israel alikuwa na ngozi ya kung'aa yaani yenye mafuta(ni watu weusi pekee wenye ngozi ya kung'aa Bila ya kupaka mafuta)

Wamisri wa kale walipowaona waebrania walisema waebrania wanafanana na wakanaani (Wana wa hamu ambao ni weusi)

Kumbuka (wamisri wa kale walikuwa weusi sio waarabu HATA fuvu la farao lina pua fupi sio ndefu hivyo wamisri ni weusi kama waebrania (waisrael) na ndio maana yesu na yusufu na maria walikimbilia misri kujificha KWA sababu walifanana na wamisri KWA weusi waO!!(YESU ALIKUWA MWEUSI HANA UZUNGU WOWOTE)!!

Hao unaoambiwa ni waisrael wa Sasa ni feki!!!?coz waisrael waliondoka misri wakiongozwa na Musa wakiwa weusi iweje leo weupe!!?ALIHOJI KIONGOZI WA MISRI ABDUL NASSAR ALIPOAMBIWA ALITAMBUE TAIFA LA SASA LA ISRAEL KUWA NI TAKATIFU,AKAULIZA MBONA WALIONDOKA UTUMWANI HUKU KWETU WAKIWA WEUSI NA SIO WEUPE!!?NINI KIMETOKEA!!?AKAGOMA KUTAMBUA TAIFA HILO!!

HATA Musa alikuwa MWEUSI ndio maana alijulikana kama mmisri ambao ni weusi!

ALIYETAFITI HAYA NILIOANDIKA NI MZUNGU KABISAAAA KUPITIA ARCHEOLOGICAL EVIDENCE NA MACHAPISHO MBALI MBALI!!

KAMPENI YA WEUPE DHIDI YA WEUSI ILIFANYWA BAADA YA WAZUNGU KU FEEL INFERIOR KWA MTU MWEUSI KIHISTORIA IKAWAFANYA WAANZISHE KAMPENI MBALI MBALI ZA KIDINI NA TECHNOLOGY HADI YESU WAKALETA NADHARIA YA WEUPE KUPITIA FILAMU NA KWAMBA SISI NI NYANI ASILI YETU!!

I REST MY CASE!
 
Takwimu zinaonyesha uzazi kupungua sana miongoni mwa wazungu walioko Ulaya, America, Canada na Australia. Wengi hawataki kuzaa au wakizaa ni katoto kamoja au viwili wengine hawataki sababu wamejitumbukiza ndoa za jinsia moja.

Ieleweke kuwa wazungu ndio wenye DNA yenye. watu wenye akili mno duniani kuliko races zingine.

Sasa hivi nchi kama uingereza, maeneo mengi wazungu wameanza kuwa wachache kuliko races zingine

Tatizo litakalotokea ni kuwa dunia itakosa population ya wenye akili na tutafika mahali marekani na ulaya na Canadsa na Australia wanajazana walizaliana kizazi cha wajinga wenye DNA isiyo na akili wenye asili ya Asia na Africa kulikojaa wajinga ambao hawawezi gundua chochote cha maana kwenye ulimwengu wa teknolojia kama ilivyo kwa wazungu

Niwaombe wazungu wazaliane sana waiachie dunia watu wenye DNA zenye akili nyingi. Wasipofanya hivyo dunia huko mbeleni itakuwa ngumu ku advance kiteknolojia na nchi kama Marekani na ulaya ambazo sasa tunaziona superior zitakuwa level moja tu na za kwetu sababu population itakayokuweko kule ndio hiyo hiyo iko nchini kwetu ya waswahili wenzetu walewale wajingawajinga
Akili zako hazina akili kabisa.Hizo takwimu umezitoa wapi? Au ndio zile za TWAWEZA.
 
Sio hilo.fikiria kuna siku unamka unasikia vyombo vya habari vikitangaza kuwa Godbless Lema kashinda uchaguzi Canada aliko. na ndie waziri mkuu mpya wa Canada.Vuta picha
Mbona Zungu ni naibu spika? Ivi unawaza kutumia nini? Macho, pua, masiko!
 
WATAZAA VIP NA WAKATI, MWANAUME ANAMPUMULIA MWANAUME MWENZAKE KISOGONI?
 
Unajua IQ genetically inaingiaa kwenye aina ipi ya variation kiongoz?
 
Takwimu zinaonyesha uzazi kupungua sana miongoni mwa wazungu walioko Ulaya, America, Canada na Australia. Wengi hawataki kuzaa au wakizaa ni katoto kamoja au viwili wengine hawataki sababu wamejitumbukiza ndoa za jinsia moja.

Ieleweke kuwa wazungu ndio wenye DNA yenye. watu wenye akili mno duniani kuliko races zingine.

Sasa hivi nchi kama uingereza, maeneo mengi wazungu wameanza kuwa wachache kuliko races zingine

Tatizo litakalotokea ni kuwa dunia itakosa population ya wenye akili na tutafika mahali marekani na ulaya na Canadsa na Australia wanajazana walizaliana kizazi cha wajinga wenye DNA isiyo na akili wenye asili ya Asia na Africa kulikojaa wajinga ambao hawawezi gundua chochote cha maana kwenye ulimwengu wa teknolojia kama ilivyo kwa wazungu

Niwaombe wazungu wazaliane sana waiachie dunia watu wenye DNA zenye akili nyingi. Wasipofanya hivyo dunia huko mbeleni itakuwa ngumu ku advance kiteknolojia na nchi kama Marekani na ulaya ambazo sasa tunaziona superior zitakuwa level moja tu na za kwetu sababu population itakayokuweko kule ndio hiyo hiyo iko nchini kwetu ya waswahili wenzetu walewale wajingawajinga
Ukweli mchungu.
 
Mzungu anafikiri kabla ya kutenda, kuzaa ni jukumu kubwa, mtoto anastahili malezi mazuri sio kuzaa na kuanza kubahatisha.

Mtu mwenye akili anajipanga kabla ya kuzaa.

Ukitaka angalia mataifa yanayoongoza kwa natality rate utaelewa
Hilo la kutozaa sana wazungu wamekosea na miaka michache tu ijayo watajiona walikuwa wajinga kufanya huo uamuzi kuwa wasizae sana

Mfano sasa hivi nchi nyingi mfano Canada na ulaya ina vizee vikongwe vingi vya kizungu sababu life span iko juu lakini idadi ya vijana na watoto wanaozaliwa inazidi kushuka mwaka hadi mwaka kiasi kuwa wanaanza kuhitaji ku import watu wajinga wajinga toka Africa na Asia nk nchini mwao kwa visingizio vya Labour shortage green card nk

Kigupi kama tunavyohangaika kuhusu kutunza maxingira kwa kuongeza upandaji miti tuhimize pia wazungu kuzaliana sana ni Race ambayo iko mbioni kufutika duniani kwa kugoma kuzaliana kwa wingi na ikipotea dunia itajaa wajinga tu

Viongozi wa dini hamasisheni wazungu kuzakiana kwa wingi msiwaogope waambieni waziwazi kuwa dunia inahitaji kizazi chenu acheni ujinga nendeni mkazaliane kwa wingi huko dunia iendelee kupata wataalamu na wagunduzi wabobezi wa teknolojia wasituachie waafrika ns waasia ambao DNA zetu hazina uwezo wa kuzakisha watoto wenye akili nyingi mno kama wao

Viongozi wa dini anzisheni kampeni kubwa
Kanisa katoliki lishike usukani kuongoza hiyo kampeni na makanisa yote duniani unganeni kuwa kitu kimoja kutaka wazungu waongeze kasi ya kuzaa wazae sana
 
Sio swala la Andiko wewe ukoo.wenu na kabila lenu lote mna nini cha kiteknoljia mlichogundua kinachosaidia dunia?

Tanzania yote tuna miaka 60 ya uhuru.na wasomi kibao tumegundua nini kiteknolojia?

Mwenye macho hambiwii tazama
Ukiwa unawaza kitoto utapata tabu Sana.Nakujulisha tu kuwa Wazungu wanatafuta
Magenius popote duniani wa rangi zote hivyo hata wewe Mwanao akiwa na akili nyingi ataishi Uzunguni tu .hivyo Uwezo wa akili hauna uhusiano na Race yako. Leo hii Mwanao akiwa genius hawakubali arudi Africa na watampa Pesa nyingi kazi nzuri Mfano waliokwenda Havard University kutoka kote duniani Waliorudi Makwao ni Wachache .Hivyo kaa ukijua kuwa Sasa Wanatumia utajiri wao kuchukua Watu wenye akili nyingi popote Walipo na ukigoma tu Wanakuua mapema Sana labda ukubali kuwa vibaraka wao.
 
Wazungu hawataki kuzaliana sababu hii uharibifu wa mazingira na joto kuongezeka duniani kumeifanya future ya dunia kuwa very uncertain
Kupotea race ya wazungu kwa kushindwa kuzaliana sana ni hatari kwa dunia kuliko uharibifu wa mazingira ns kuongezeka joto duniani sababu kizazi chao kina DNA ya wenye akili sana wangeweza zaliwa wazungu wenye akili sana wa kugundua teknolojia ya kudhibiti hilo joto wakipotea Race yao hilo joto tutaanza kuonja Jehanamu hapa hapa duniani na bila kuwa na solution sababu races zingine DNA waliyozaliwa nayo ni weak sana kiakili
 
Kuna wachina ambao wapo zaidi ya bilioni moja
 
Ukiwa unawaza kitoto utapata tabu Sana.Nakujulisha tu kuwa Wazungu wanatafuta
Magenius popote duniani wa rangi zote hivyo hata wewe Mwanao akiwa na akili nyingi ataishi Uzunguni tu .hivyo Uwezo wa akili hauna uhusiano na Race yako. Leo hii Mwanao akiwa genius hawakubali arudi Africa na watampa Pesa nyingi kazi nzuri Mfano waliokwenda Havard University kutoka kote duniani Waliorudi Makwao ni Wachache .Hivyo kaa ukijua kuwa Sasa Wanatumia utajiri wao kuchukua Watu wenye akili nyingi popote Walipo na ukigoma tu Wanakuua mapema Sana labda ukubali kuwa vibaraka wao.
Wenye akili wengi wanaowatafuta ni wafanyakazi sio wagunduzi wa teknolojia fuatilia.Magenious wote mfano wa kutoka Afrika waliopewa hadi uraia ulaya na marekani wamegundua teknolojia ipi?
Wanawachukua kama wahadhiri,au wafanyakazi kampuni zao kuwa waweza xiendesha na kweli huwapata lakini dio kwa level ya ugunduzi wa teknolojia hilo wanafanya wazungu wenyewe.Akushagunfua teknolojia yake sasa anatafuta wafanyakazi wa hiyo teknolojia kagundua iuzwe duniani kote na awe na technical team,marketing team ,political experts team wenye ushawishi nchi zao kupata tenda nk ma genius wa kusaidia area zao business ipae
Ndipo hapo ma genius wakiwemo wa kiafrika huingia nchi za wazungu na kupewa hadi uraia kabisa chapchap
 
Kuna wachina ambao wapo zaidi ya bilioni moja
Wachina kweli ni wengi lakini kiteknolijia hawawafikii wazungu

Bado wako nyuma sana maeneo mengi ukilinganisha na wazungu

Wachina hawana independent thinkers wagunduzi wa teknolojia wao ndio taifa duniani linaongoza kwa ku kopi bidhaa za wazungu na kuuza hizob photocopy zax hiyo bidhaa wane kopi low quality kama ikivyo photocopy yeyote kwa bei nafuu nchi za dunia ya tatu ikiwemo Tanzania

Mchina Race ya mzungu ikiondoka na yeye ataumia atakosa original ya kutos photocopy akazalishe auzie nchi dunia ya tatu photocopy alizotoa viwandani kwake

Wazungu wazaliane sana tu wasiache wachina wazaliane sana kuzalisha kizazi cha watoa photocopy!! Kuwa si wachina wapo.Tunahitaji kizazi cha wazungu kikubwa
 
Mimi naamini mpaka sasa sayari tunayoweza kuishi ni hii hii moja. Na tunaiteketeza kwa kasi sana bila juhudi za kutosha kuiweka sawa. Mabadiliko ya tabia nchi na madhara yake yapo wazi dunia nzima. Hivyo basi ni muhimu kupunguza kasi ya kuzaliana, na kuongeza juhudi za kuokoa dunia kimazingira kwanza ili vizazi vijavyo vipate cha kurithi. Hata hapa Bongo mimi ni muumini wa kupunguza kuzaa na kuboresha mazingira kwanza.
 
Wenye akili wengi wanaowatafuta ni wafanyakazi sio wagunduzi wa teknolojia fuatilia.Magenious wote mfano wa kutoka Afrika waliopewa hadi uraia ulaya na marekani wamegundua teknolojia ipi?
Wanawachukua kama wahadhiri,au wafanyakazi kampuni zao kuwa waweza xiendesha na kweli huwapata lakini dio kwa level ya ugunduzi wa teknolojia hilo wanafanya wazungu wenyewe.Akushagunfua teknolojia yake sasa anatafuta wafanyakazi wa hiyo teknolojia kagundua iuzwe duniani kote na awe na technical team,marketing team ,political experts team wenye ushawishi nchi zao kupata tenda nk ma genius wa kusaidia area zao business ipae
Ndipo hapo ma genius wakiwemo wa kiafrika huingia nchi za wazungu na kupewa hadi uraia kabisa chapchap
Umewahi waza Mapiramid ya Misri yalijengwa kwa Tekinolojia gani na ni Nani alijenga ? Aliyegundua ujenzi ule alikuwa anatumia vipimio gani?
 
Hilo la kutozaa sana wazungu wamekosea na miaka michache tu ijayo watajiona walikuwa wajinga kufanya huo uamuzi kuwa wasizae sana

Mfano sasa hivi nchi nyingi mfano Canada na ulaya ina vizee vikongwe vingi vya kizungu sababu life span iko juu lakini idadi ya vijana na watoto wanaozaliwa inazidi kushuka mwaka hadi mwaka kiasi kuwa wanaanza kuhitaji ku import watu wajinga wajinga toka Africa na Asia nk nchini mwao kwa visingizio vya Labour shortage green card nk

Kigupi kama tunavyohangaika kuhusu kutunza maxingira kwa kuongeza upandaji miti tuhimize pia wazungu kuzaliana sana ni Race ambayo iko mbioni kufutika duniani kwa kugoma kuzaliana kwa wingi na ikipotea dunia itajaa wajinga tu

Viongozi wa dini hamasisheni wazungu kuzakiana kwa wingi msiwaogope waambieni waziwazi kuwa dunia inahitaji kizazi chenu acheni ujinga nendeni mkazaliane kwa wingi huko dunia iendelee kupata wataalamu na wagunduzi wabobezi wa teknolojia wasituachie waafrika ns waasia ambao DNA zetu hazina uwezo wa kuzakisha watoto wenye akili nyingi mno kama wao

Viongozi wa dini anzisheni kampeni kubwa
Kanisa katoliki lishike usukani kuongoza hiyo kampeni na makanisa yote duniani unganeni kuwa kitu kimoja kutaka wazungu waongeze kasi ya kuzaa wazae sana
Mkuu ukizaa hakikisha unayemleta duniani una uwezo wa kumhudumia, ndo hivyo tu.
 
Back
Top Bottom