YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #81
Wazungu mtoto ukizaa elimu bure hata kama kazi huna unaoewa pesa za kulea bure ns serikaliMkuu ukizaa hakikisha unayemleta duniani una uwezo wa kumhudumia, ndo hivyo tu.
Wazungu ujinga tu
Halafu hiyo concept ya kusema ukizaa mtoto uwe na pesa za kulea ni utetezi wa kijinga hasa kwenye nchi za wazungu hata
Hata Tanzania wajinga wakubwa wasiotaka kuzaa watoto wengi ni wasomi tena wenye kazi zao
Mtoto mfano kutoka mwaka mmoja hadi mitano ana bili gani? Chakula chake shilingi ngapi hadi upige yowe kuwa ohh ukizaa uwe na pesa
Bima ya afya NHIF kuanzia mwaka mmoja hadi 18 ni shilingi 50,400 akina mama nitilir unakuta wanekatia hiyo bima watoto wao wanatibiwa best hospitals wanskotibiwa hao watoto wa wasomi still midomi unsikuta inaona kuzaa mzigo
Msomi mzima unakuta anapiga miyowe eti kulea mtoto gharama unakuta mtoto wa mama nitulie mtaani ana afys kuliko wake ns mama ntilie hagombani gharama ya malezi ya mtoto misomi mizima unakuta kutwa inagombana gharams za kulea kitoto kichanga!! Au mtoto mdogo hajafika hata miaka mitano.Hopeless kabisa
Wasomi wetu na wazungu ujinga wanafanana hasa eneo la kuzaa watoto wengi wote hopeless kabisa