Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kinachotokea ulaya hakijaja kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya watu kukataa mfumo wa asili wa ndoa ya mwanaume na mwanamke
Asilimia kubwa ya mafeminist ni wasagaji na asilimia kubwa ya wanaume wanaokataa ndoa wanahatari ya kuangukia kwenye ushoga
Kuvunjika kwa maadili kulikokithiri zama hizi ni matokeo ya kuyumba kwa ndoa kundi kubwa la watoto wanalelewa na mama tu huku wababa wakiingia mitini
Kwa mtoto wa kiume mama yake hawezi mfundisha kuwa a real man
Kama wewe ni kataa ndoa na unazalisha wanawake wewe ni sehemu kubwa sana ya matatizo ya kileo yakiwemo ongezeko la ushoga, usagaji na kuvunjika kwa maadili
Kuwa na kizazi nyoronyoro ni matokeo ya watoto wengi kulelewa na mzazi mmoja hasa mama a real man zama hizi wanazidi kupotea
Kuongezeka kwa wanaume wanaopenda kulelewa ni matokeo ya kataa ndoa sababu wanaume hawataki tena kuwajibika bali wanataka kulelewa
Wanaume leo hii wanalilia haki sawa na wanawake ni kawaida kusikia kataa ndoa anakuambia ndoa inawabeba sana wanawake mara ni utapeli kwa lugha nyingine huyu mtu anataka haki sawa na mwanamke kwelii anasahau mwanamke ni kiumbe dhaifu
Mwanaume aliyekamilika hawezi lalamikia mfumo wa ndoa uliopo