The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Wazee wa sasa hawana jipya, kutoa eneo ni mtihani.Nasikia Wazungu nao walianza hivi hivi huko miaka ya nyuma sasa hivi wanafukunyuana viungo vya kutolea haja kubwa.
Huku bora tuwe washamba, turudi kwenye zile mila zetu za kale, kijana akifikisha umri anapewa eneo na mzee, inachinjwa ng'ombe mnakula nyama, mzee wa boma anachomewa pumbu za ng'ombe anakula kijana anavuta mke.