Nasikia Wazungu nao walianza hivi hivi huko miaka ya nyuma sasa hivi wanafukunyuana viungo vya kutolea haja kubwa.
Huku bora tuwe washamba, turudi kwenye zile mila zetu za kale, kijana akifikisha umri anapewa eneo na mzee, inachinjwa ng'ombe mnakula nyama, mzee wa boma anachomewa pumbu za ng'ombe anakula kijana anavuta mke.