UVCCM haoPicha ziko wap...
Ama ndo uchawa tunaousema
Hakuna urafiki..hawa ni kupigana nao spana mwanzo mwishoHakuna utafiki wa kweli kati ya Kenya na Tanzania
USSR
Kupiga picha bila ridhaa ya wahusika ni jambo gumu isitoshe hii nchi ipo kijelajela wana Vita ya wenyewe kwa wenyewe.Picha
usiongee kwa sauti, utachekwa.He, Wazungu watalii toka Ethiopia! Huu sasa utani.
Waacheni sasaHatupambani na Kenya bali tutawaacha kwa mbali saaaana.
Haijalishi picha, nani angeamini Mdee yupo kwetu! Watanzania wanahitaji franctional of second kubadilikaSijawahi kuwa chawa hata siku moja fuatilia mabandiko yangu utaufahamu msimamo wangu tangu enzi za Mzee wa ukweli na uwazi.
Binafsi nakuamini hili wala sina shaka nalo.Kupiga picha bila ridhaa ya wahusika ni jambo gumu isitoshe hii nchi ipo kijelajela wana Vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Rizika na ninachokuambia.Kama kuna mwanaJF uwanja wa KIA na Karume anaweza kushuhudia nyomi itakayoshuka baada ya saa moja kuanzia sasa.
Hao wazungu watawaletea nini wazazi wako huko kijijini ?Sijawahi kuwa chawa hata siku moja fuatilia mabandiko yangu utaufahamu msimamo wangu tangu enzi za Mzee wa ukweli na uwazi.