Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ngongo awe chawa? Itakuwa umemjua juzi wewe.Picha ziko wap...
Ama ndo uchawa tunaousema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngongo awe chawa? Itakuwa umemjua juzi wewe.Picha ziko wap...
Ama ndo uchawa tunaousema
Etwenge, extrovert & co fools watapinga 😂😂Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Safi sana aiseWaku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Hao wenzetu wana more direct flights to Nairobi kuliko sisiWaku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Tunaokufahamu hatuna shaka na wewe Meze Ngongo.. Naona Arusha na Moshi pesa anamwagika sasahiviSijawahi kuwa chawa hata siku moja fuatilia mabandiko yangu utaufahamu msimamo wangu tangu enzi za Mzee wa ukweli na uwazi.
Kuwa na adabu kwa wakubwa wako. Ngongo anaweza kuwa baba yako au baba mkubwaBlabla za UVCCM bhana
Mkubwa kwa baba akoKuwa na adabu kwa wakubwa wako. Ngongo anaweza kuwa baba yako au baba mkubwa
Ulaya kuna joto la hatari snJuzi nilikuwa naenda Moshi asubuhi, nilikutana na gari kadhaa hivi za kitalii toka Arusha zinawafuata wageni KIA.
Kawaida lakini maana ni high seasons hii hadi mwezi wa 12
Nyie Bawacha ndio maana Mbowe aliwananga muwe na heshima mitandaoni.. Hivi unafikiri watalii kuongezeka wanaofaidika ni CCM pekee? Acha roho mbayaMkubwa kwa baba ako
Ni kawaida sana. Kipindi hiki ni wasafiri ni wengi. BTW umefanya research ya siku ngapi?Sijawahi kuwa chawa hata siku moja fuatilia mabandiko yangu utaufahamu msimamo wangu tangu enzi za Mzee wa ukweli na uwazi.
UWT akili zenu hazina akili, kipindi hiki ni msimu wa joto Ulaya ndiyo maana wanaita high season lazima watalii waje kwa wingi na ni miaka yote isipokuwa 2020 na 2021 coronaNyie Bawacha ndio maana Mbowe aliwananga muwe na heshima mitandaoni.. Hivi unafikiri watalii kuongezeka wanaofaidika ni CCM pekee? Acha roho mbaya
Niko KIA mafuriko balaa....hii July na August ni MAVUNO!!!!Kupiga picha bila ridhaa ya wahusika ni jambo gumu isitoshe hii nchi ipo kijelajela wana Vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Rizika na ninachokuambia.Kama kuna mwanaJF uwanja wa KIA na Karume anaweza kushuhudia nyomi itakayoshuka baada ya saa moja kuanzia sasa.
Hata kama ni ujinga lakini hili la kusema hiyo Royal Tour imeongeza watalii ni ujinga uliopitiliza. Tena ni ushamba na ulimbukeni wa hali ya juu sana. Lack of exposure. Hakuna kipya ambacho wazungu watalii walikuwa hawakijui kuhusu ''safari'' kwenye ile filamu. Mnajiingiza kwenye ubishani wa kijinga kabisa.Yeah hii ni kweli hata source zangu zinasema royal tour inaleta mafuriko
Ila sehemu za kwenda zipo nyingi sio Tanzania pekee. Au unafikiri huko kwao wanaambia au kuchaguliwa pa kwenda?UWT akili zenu hazina akili, kipindi hiki ni msimu wa joto Ulaya ndiyo maana wanaita high season lazima watalii waje kwa wingi na ni miaka yote isipokuwa 2020 na 2021 corona
Mama anaupiga mwingi.Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
He, Wazungu watalii toka Ethiopia! Huu sasa utani.
Yes, picha p/se isije kua wapenzi wa royo tua ya mamaPicha