Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mshike mzungu mmoja aongee nawewe kidhungu kutujulisha anenda wapi na kwa nini!Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport