Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Mkuu tembea.....He, Wazungu watalii toka Ethiopia! Huu sasa utani.
Hizo ni connection tuu... Hapo Addis Ababa.. (Bole Int) ni meeting point.. Za ndege kutoka sehemu mbalimbali.. Kisha wanakuja Kilimanjaro au Zanzibar/ Dar
Juzi tuu nina ndugu alitokea Canada.. Kuja KIA lakini connection alipata Istanbul (Turkey) kutumia Turkish airlines... Katika ndege ya kuja Kilimanjaro ilikuwa na watu 260 lakini watanzania hawakuzidi 15 ndani ya ndege...
Kipindi hiki watu huko majuu wanakipenda kwa ajili ya mapumziko..
Corona iliharibu biashara sana Arusha... Ila naona inarecover na Serikali itapata mapato...