voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Wewe umejuaje hao wazungu wanakuja Kilimanjaro nk?Waku nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza.
Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa.
Ngongo kwasasa Addis Ababa Bole International Airport
Ilhali kila mtu yupo na passport yake pamoja na ticket yake?
Umefanya nao interview?
Wakati wewe upo Bole airport umewezaje kujua kinachoendelea huko Kenya wakati haupo huko?
Acha uchawa!