Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mpaka sasa ushaiga Marekani.Marekani ni nchi mojawapo lkn zinazotengeneza ndege ni nchi nyingi.
.
Rekodi ya dunia ndege kubwa za abiria ni concord na airbus's ambazo sio za Marekani. Ndege kubwa za mizigo zipo Urusi sio Marekani.
.
Kwanini tuige nchi moja wakati nchi nyingi zinamashirka yao?
.
Hata kiutawala Sisi na Marekani hatufanani...
.
Sisi tuna mikoa wao wanamajimbo yenye mamlaka zake ambayo yanamashirika yao ya ndege.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Marekani ndiye kaanzisha mfumo wa urais, hata hii internet unayoitumia kaanzisha Marekani.
Kwa hivyo, mpaka hapo ushamuiga Mmarekani, ujue au usijue.
Zaidi, pinga hoja kwa sababu kitu ni kizuri au kibaya.
Hoja ya msingi ni kwamba, biashara ya ndege ni risky sana, mashirika ya serikali hayawezi kuendesha biashara za ndege kwa faida.Nimeweka article ina point nyingi sana kuelezea hili.
Biashara hii ingefaa iachiwe sekta binafsi kuiendesha.
Ama sivyo, naku guarantee ATC itakuwa inakula hasara miaka nenda rudi, na hilo linamaanisha wewe hela yako ya kodi inaubguzwa kila siku.