Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

Mpaka sasa ushaiga Marekani.

Marekani ndiye kaanzisha mfumo wa urais, hata hii internet unayoitumia kaanzisha Marekani.

Kwa hivyo, mpaka hapo ushamuiga Mmarekani, ujue au usijue.

Zaidi, pinga hoja kwa sababu kitu ni kizuri au kibaya.

Hoja ya msingi ni kwamba, biashara ya ndege ni risky sana, mashirika ya serikali hayawezi kuendesha biashara za ndege kwa faida.Nimeweka article ina point nyingi sana kuelezea hili.

Biashara hii ingefaa iachiwe sekta binafsi kuiendesha.

Ama sivyo, naku guarantee ATC itakuwa inakula hasara miaka nenda rudi, na hilo linamaanisha wewe hela yako ya kodi inaubguzwa kila siku.
 
Hapana, serikali kuingilia biashara ya ndege kwa kuingiza ruzuku kubwa kwa ATC tayari kunaleta unfair advantage na mpaka hapo hutakiwi kusema Precision na FastJet zimekufa zenyewe.
 
Hapana, serikali kuingilia biashara ya ndege kwa kuingiza ruzuku kubwa kwa ATC tayari kunaleta unfair advantage na mpaka hapo hutakiwi kusema Precision na FastJet zimekufa zenyewe.
Fastjet wamekufa kwa uongozi wa juu kukosa weledi, aliambiwa atafute mtaalam wa sekta ya anga akachukulia poa tu.

Haya mambo ni shule ukiikosa unaharibu kila kitu. Ruzuku kubwa ni sababu ya uongozi wa sasa kurithi madeni makubwa, siku zinavyokwenda ule ukubwa wa deni unaendelea kupungua.
 
Addis-KIA Ni saa 1 (60 minutes)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…