above metal04
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 272
- 224
Acha kulalama na uache huo ujinga. Kwani nani kakuambia anataka kukuchagulia mke/mume? Kinachohitajika ni chaguo sahihi and that is opposite sex and not some madness you are trying to justify. Do this and nobody will ever bother you.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mada yako unataka Watu waishi na wafanye Kama unavyotaka wewe. Kama mtu kaamua kuvaa nguo za kike au kusuka au kutoboa sikio wewe inakuhusu nini?? Mbona yeye haangaiki na wewe kisa hufanyi Kama yeye? Ondoka na fikra za kizamani jombaa
Only the mentally retarded cannot see what is right in this case.Nani mwenye mamlaka ya kuamua kuwa same sex relationships/marriage sio sahihi?? Na kwamba opposite sex is the right choice???
It is about doing the right thing not making mistakes.What do you mean chaguo sahihi??
Unaweza kuchagua huyo opposite sex na ukawa ume boogy step
Who are you kumchagulia mtu kwamba lazima apendane na opposite sex??
Kwani tigo ni yako ? Watu wamekubaliana wenyewe let them be.
Ni kweli ila kwanini tuendekeze huu ujinga. Maana humu imekuwa ndo kawaida sanaIla ni adhabu Kali kwa mwanaume lijali ..
You have been influenced the wrong way. A lie repated many times finally appears to be the truth though it is still a lie. You are just trying to be accomodative but that doesnt remove the fact that the practice just hell bound.Hata mimi kuna wakati niliwachukia sana transgenders kwa kufikiri ni gays na hao gays ndio sikutaka hata kuwasikia. Ila badae nikakumbuka wakati tunasoma primary kuna mwenzetu kwa kweli alikuwa trapped in a wrong body. He was a boy on the outside but a whole different gender inside na alikuwa akicheza na watoto wa kike
Na mama yangu pia aliwahi nisimulia kuwa wakati wanasoma, tena girls school kuna mwenzao ilibidi apewe chumba peke yake maana she had a penis. Hapo nikaanza kufikiri upya kuwa mambo mengine ni hormonal na wanaopatwa na kadhia hizo hawana control nazo.
Hakuna haja ya kuwatenga ni kujifunza tu namna ya kuishi nao
Wana tofauti gani na wale wanaokula wanawake kinyume na maumbile? Msitake kuona dhambi moja wakati tunafanya madhambi mengi ya kufanya mtu.Nawachukia watu wanaofanya hivyo vitu. Mungu atuhurumie
Kila mtu ana mtazamo wake na naheshimu hoja zenye mashiko, kwenye huu uzi nakiri kuwa hukuelewa muktadha mzima wa kile nilichoandika au la tuna misimamo na uelewa tofauti kwenye hiliWana tofauti gani na wale wanaokula wanawake kinyume na maumbile? Msitake kuona dhambi moja wakati tunafanya madhambi mengi ya kufanya mtu.
Unawachukia wafiraji/wafirwaji ili hali hiyo nokia/Samsung/HTC nk unazotiumia kuwasema watu zimetengenezwa na mikono ya wanaoamini katika kufirwa/kufira? Kwa nini kama unawachukia usichukie na vitu vinavyotokana na wao?
Kumsingia mzungu katika upumbavu wetu wenyewe ni kuonyesha jinsi gani tunazidi kuonekana tegemezi na wapumbavu mbele za hao wazungu. Hatuna utashi wa kupembua baya na jema hadi tusingizie wengine kwa vitu ambavyo tunaweza kujiongoza wenyewe...come on mshana jr
Only the mentally retarded cannot see what is right in this case.
It is about doing the right thing not making mistakes.
Kila mtu ana mtazamo wake na naheshimu hoja zenye mashiko, kwenye huu uzi nakiri kuwa hukuelewa muktadha mzima wa kile nilichoandika au la tuna misimamo na uelewa tofauti kwenye hili
Tabia mbaya tu za kwetu kupenda pesa bila jasho,mashoga na wanawake wanaosagana nalo ni jipu maana idadi yao inaongezeka kila kukicha lkn tusiwalaumu wazungu tulejee ktk maadili yetu wapi tumekosea?Kuna watu wanajiusisha na mapenzi ya jinsia moja,Wako Kanisani kama viongozi,msikitini pia,mashuleni,mahospitalin ,magerezan,Majumbani,yaani ni tabu tupu inabidi turudi hatua moja nyuma na kutafakar ni wapi tumekosea kama taifanaweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie
Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie
Wazungu ni washenzi sana hii kitu waliipenyeza kidogo kidogo tukapinga na kuikataa kwa nguvu zote lakini taratibu tunaishiwa na pumzi na kuanza kuona kama ni kitu cha kawaida vile
Kuna vitu vyenye kuacha maswali mengi siku hizi lakini hatuvikemei tenan
Vijana wa kiume kubusiana hadharani
Vijana wa kiume kusuka nywele tena Mitindo
Vijana wa kiume kuvaa nguo za kike
Vijana wa kiume kutoga masikio na kujikwatua kama wanawake huku wakitumia kwa sehemu kubwa vipodozi vya kike
Vijana wa kiume kuvaa mapambo ya kike nk nk
Hakuna dalili njema hapa wazungu wameharibu wa kwao sasa wamekuja kuharibu na wa kwetu...kuna baadhi ya nchi za ulaya sasa hivi kuna uhaba wa watoto wadogo au wanawake wajawazito...nani atawapa mimba?wakati fashion siku hizi ni ndoa za jinsia moja
Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana
Yeye haoni kama ni laana Mkuu,.Huyu jamana sio kabisaHuyo nae anavihusudu/anafanya hvyo vitendo vya kishoga huoni anavyowatetea wenzie...yani dume zima unapigwa dudu na mwanaume mwenzio ni laana
Because you are already perverted, your mind is clouded to the point of blinding your ability to distinguish right from left. One fact will always be clear, your lies and self consolation about your dirty ways of life will come to abrupt end when it will be too late for you to reverse.I asked you a simple question and you resort to abusive language. Who has the authority to decide for another human being whom they should fall in love with??? You are full of discriminatory remarks talking about mental retardation, is it their choice that they should be mentally retarded???? First discriminating LGBT and now making remarks about people with mental disabilities. Check yourself !!!
Si vizuri kuendekeza huo ujinga na waache Mara mojaNi kweli ila kwanini tuendekeze huu ujinga. Maana humu imekuwa ndo kawaida sana
Because you are already perverted, your mind is clouded to the point of blinding your ability to distinguish right from left. One fact will always be clear, your lies and self consolation about your dirty ways of life will come to abrupt end when it will be too late for you to reverse.
Finally, your so called a question of who has the right of deciding whom to love, if you your mind is working normally, you shouldnt have asked because it is not a question. Look around you and the answer is obviuos. To help you, why do you think God created man and woman? And, each body part was made for aspecific function and not for you to improvise its use whose results can only be disaster.