Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Acha kulalama na uache huo ujinga. Kwani nani kakuambia anataka kukuchagulia mke/mume? Kinachohitajika ni chaguo sahihi and that is opposite sex and not some madness you are trying to justify. Do this and nobody will ever bother you.

Nani mwenye mamlaka ya kuamua kuwa same sex relationships/marriage sio sahihi?? Na kwamba opposite sex is the right choice???
 
Mada yako unataka Watu waishi na wafanye Kama unavyotaka wewe. Kama mtu kaamua kuvaa nguo za kike au kusuka au kutoboa sikio wewe inakuhusu nini?? Mbona yeye haangaiki na wewe kisa hufanyi Kama yeye? Ondoka na fikra za kizamani jombaa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
What do you mean chaguo sahihi??

Unaweza kuchagua huyo opposite sex na ukawa ume boogy step

Who are you kumchagulia mtu kwamba lazima apendane na opposite sex??

Kwani tigo ni yako ? Watu wamekubaliana wenyewe let them be.
It is about doing the right thing not making mistakes.
 
Hata mimi kuna wakati niliwachukia sana transgenders kwa kufikiri ni gays na hao gays ndio sikutaka hata kuwasikia. Ila badae nikakumbuka wakati tunasoma primary kuna mwenzetu kwa kweli alikuwa trapped in a wrong body. He was a boy on the outside but a whole different gender inside na alikuwa akicheza na watoto wa kike

Na mama yangu pia aliwahi nisimulia kuwa wakati wanasoma, tena girls school kuna mwenzao ilibidi apewe chumba peke yake maana she had a penis. Hapo nikaanza kufikiri upya kuwa mambo mengine ni hormonal na wanaopatwa na kadhia hizo hawana control nazo.

Hakuna haja ya kuwatenga ni kujifunza tu namna ya kuishi nao
You have been influenced the wrong way. A lie repated many times finally appears to be the truth though it is still a lie. You are just trying to be accomodative but that doesnt remove the fact that the practice just hell bound.
 
Nawachukia watu wanaofanya hivyo vitu. Mungu atuhurumie
Wana tofauti gani na wale wanaokula wanawake kinyume na maumbile? Msitake kuona dhambi moja wakati tunafanya madhambi mengi ya kufanya mtu.

Unawachukia wafiraji/wafirwaji ili hali hiyo nokia/Samsung/HTC nk unazotiumia kuwasema watu zimetengenezwa na mikono ya wanaoamini katika kufirwa/kufira? Kwa nini kama unawachukia usichukie na vitu vinavyotokana na wao?

Kumsingia mzungu katika upumbavu wetu wenyewe ni kuonyesha jinsi gani tunazidi kuonekana tegemezi na wapumbavu mbele za hao wazungu. Hatuna utashi wa kupembua baya na jema hadi tusingizie wengine kwa vitu ambavyo tunaweza kujiongoza wenyewe...come on mshana jr
 
Kila mtu ana mtazamo wake na naheshimu hoja zenye mashiko, kwenye huu uzi nakiri kuwa hukuelewa muktadha mzima wa kile nilichoandika au la tuna misimamo na uelewa tofauti kwenye hili
 
Only the mentally retarded cannot see what is right in this case.

I asked you a simple question and you resort to abusive language. Who has the authority to decide for another human being whom they should fall in love with??? You are full of discriminatory remarks talking about mental retardation, is it their choice that they should be mentally retarded???? First discriminating LGBT and now making remarks about people with mental disabilities. Check yourself !!!
 
Kila mtu ana mtazamo wake na naheshimu hoja zenye mashiko, kwenye huu uzi nakiri kuwa hukuelewa muktadha mzima wa kile nilichoandika au la tuna misimamo na uelewa tofauti kwenye hili

Sawa kila mtu ana mtazamo wake ila mtazamo wako umejawa na ubaguzi, chuki na wivu dhidi ya binaadamu wenzako.
 
ac412600c0593a1fbaa930735731ae9e.jpg
naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie
Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie
Wazungu ni washenzi sana hii kitu waliipenyeza kidogo kidogo tukapinga na kuikataa kwa nguvu zote lakini taratibu tunaishiwa na pumzi na kuanza kuona kama ni kitu cha kawaida vile
bc8edd11b145bc63a9c83b21c2465055.jpg

Kuna vitu vyenye kuacha maswali mengi siku hizi lakini hatuvikemei tenan
Vijana wa kiume kubusiana hadharani
Vijana wa kiume kusuka nywele tena Mitindo
Vijana wa kiume kuvaa nguo za kike
Vijana wa kiume kutoga masikio na kujikwatua kama wanawake huku wakitumia kwa sehemu kubwa vipodozi vya kike
Vijana wa kiume kuvaa mapambo ya kike nk nk
Hakuna dalili njema hapa wazungu wameharibu wa kwao sasa wamekuja kuharibu na wa kwetu...kuna baadhi ya nchi za ulaya sasa hivi kuna uhaba wa watoto wadogo au wanawake wajawazito...nani atawapa mimba?wakati fashion siku hizi ni ndoa za jinsia moja
6abb0b33340a8ad552147e17d6cc3878.jpg

Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana
Tabia mbaya tu za kwetu kupenda pesa bila jasho,mashoga na wanawake wanaosagana nalo ni jipu maana idadi yao inaongezeka kila kukicha lkn tusiwalaumu wazungu tulejee ktk maadili yetu wapi tumekosea?Kuna watu wanajiusisha na mapenzi ya jinsia moja,Wako Kanisani kama viongozi,msikitini pia,mashuleni,mahospitalin ,magerezan,Majumbani,yaani ni tabu tupu inabidi turudi hatua moja nyuma na kutafakar ni wapi tumekosea kama taifa
 
Naamini kuwa penye tabia za kishoga pako karibu na maangamizo na laana kubwa...na nuksi..

Mkuu jr katika vitabu vyako vya uchawi bado hujagundua namna ya kuwaloga hawa watu au ukaogopesha watu na hizi tabia ... Zimekuwa ni soo yaani daily.. Kwa sasa kuna mpaka wakuu(wasomi walio graduate huko magharibi) wa makampuni makubwa tz ni mashoga na wengine ni wasagaji
 
I asked you a simple question and you resort to abusive language. Who has the authority to decide for another human being whom they should fall in love with??? You are full of discriminatory remarks talking about mental retardation, is it their choice that they should be mentally retarded???? First discriminating LGBT and now making remarks about people with mental disabilities. Check yourself !!!
Because you are already perverted, your mind is clouded to the point of blinding your ability to distinguish right from left. One fact will always be clear, your lies and self consolation about your dirty ways of life will come to abrupt end when it will be too late for you to reverse.
Finally, your so called a question of who has the right of deciding whom to love, if you your mind is working normally, you shouldnt have asked because it is not a question. Look around you and the answer is obviuos. To help you, why do you think God created man and woman? And, each body part was made for aspecific function and not for you to improvise its use whose results can only be disaster.
 
It is clear you are the one whose mind is clouded to the point where you don't want to acknowledge other human beings. To you what you do is the right thing and everyone should do so otherwise they are perverted. I am straight but don't have any issues with the gay community.

Secondly are you a psychologist to say one mind is not working normally just because of their sexual orientation?? You have a retarded mind which still need to evolve that is why you cling to Jewish myths and discriminate against your fellow human beings just because their sexual orientation is diff from your own.
 
Back
Top Bottom