Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Siku zote ukweli huuma, ufiraji Na ufirwaji si matendo mema nakusihii kwa Upendo acha.

Na wewe naye ndio wale wale wa kuita Watu mashoga kisa tu hatukubaliani na hoja ya mleta mada
 
Kama sio shoga unanufaika na nini kutetea matendo ya kishoga?
 
Kama sio shoga unanufaika na nini kutetea matendo ya kishoga?
Sioni logic Kwenye swali lako
Wewe unanufaika nini mtu na mke wake , mtu na dem wake wanapo fanya tendo la ndoa. Watu wameridhaiana shauri zao
 
Sioni logic Kwenye swali lako
Wewe unanufaika nini mtu na mke wake , mtu na dem wake wanapo fanya tendo la ndoa. Watu wameridhaiana shauri zao
Usiliite tendo la ndoa hilo ni tendo la kishenzi anyway uamuzi ni wako lakini sio vizuri kabisa mwanaume Na uanaume wako kuolewa.
 
Usiliite tendo la ndoa hilo ni tendo la kishenzi anyway uamuzi ni wako lakini sio vizuri kabisa mwanaume Na uanaume wako kuolewa.
Ndio maana nauliza hizi akili au matope??
Nini maana ya tendo la ndoa? Nimeandika mme na mke, au kusoma hujui.
 
Kuna jamaa hapa mjini ni maarufu sana nanitajir tu...cku moja alikuwa amekaa dukan kwake Mimi nilikuwa na rafiki yangu wa kiume..tukaingia pale kufanya shopng, Huyo boss akatoka nje akamuita huyo rafki yangu akamuomba no yake ya simu akampa, tulivyo maliza manunuz tukaondoka, jamaa kafika om boss kampigia simu kamuomba wakutane WK end anamazungumzo nayy, basi imefika wkend wakakutana ,boss katoa million 2 kamkabiz rafki yangu kamwambia we nikijana unaeweza kufanya kaz yangu naomba unibandue tigo me nitakutunza hapa mjin na usimwambie mtu yeyote..rafk yangu akakataa ndiyo akajakunisimulia ...sa swali langu n hili uyu boss na yy n shoga? Na ndo maana nimeuliza shoga n nan?
 
Offcouse nanufaika kwa sababu ndo mpango Wa Mungu Mme aoe mke? Na hatimaye mtoto azaliwe unafikiri Baba yako angeolewa ungepatikana?

Mpango wa mungu?? Mungu Ndio kakuambia ni mpango wake?
Kweli jf wamejaa vichaa.
 
Kuna mashoga wenye familia kabisa ila hawajionyeshi wana mali wana nyadhifa serikalini wana heshima kwenye jamii...huyo ni mmojawapo
 
you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Ndio,wanawalazimisha waafrika kushiriki mapenzi ya jinsia moja kwa masharti ya kuendelea kupewa misaada.
 
Ndio,wanawalazimisha waafrika kushiriki mapenzi ya jinsia moja kwa masharti ya kuendelea kupewa misaada.
Wewe umelazimishwa?? Au kuna mtanzania unamfahamu amelazimishwa?? Au ni sheria wanaomba zipitishwe zinazo halalalisha ndoa za jinsia moja
 
Kwa wale watetezi wa ushoga na mashoga je hiki ndio mnachotaka siku moja kitokee hapa nchini ???kweli kabisa! !? Hivi mnajua mnachokitetea lakini?

Imagine mmojawapo ni mwanao au mtoto wa ndugu yako!utafurahia hiki kitu kweli? Akikualika utahudhuria?
 
Ushoga na usagaji hauna nafasi katika jamii za Kiafrika. Acha kutetea upuuzi kalume kenge wewe
 
Hawaja tuaribu tatizo ni kuiga tu, kwani waliwaambia msuke nywele si nyinyi tu kupenda kuiga. Ikiwa wazungu wanaosuka nywele wengi wao wanauwezo, sijui wezangu hawa Wenye kuiga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…