Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #341
Pengine hujui tofauti ya feeling na fact nimeuliza maswali nataka kujibiwa ni hilo tu...hizo blah blah nyingine ni mambo ya kawaida kwakuwa hapa hatutafuti mshindi wala mshindwaMkuu acha kubishana kwa feelings bishana kwa fact's. Na pia kubali sometimes kushindwa hakuna shida katika hili itaonyesha ni jinsi gani umekomaa kiakili unless ni ubishi wa vijiweni.