Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Hata kama hu support lakini vema ukaonyesha msimamo la sivyo itakuwa ni ngumu kujenga hoja
Nimesema as long it's not a criminal act kwa sheria ya nchi Hata hoja zenu hazina maana yoyote. As long kila MTU anaheshimu sheria za nchi sioni sababu ya kumlaani kwa sababu tu ya feeling zako binafsi.
 
sasa we mshana,
mihemko iko wapi?
nimekuulizeni swali hapo mmebaki kudanadana na kujifanya hamuoni.
mashoga wanawanyimeni nini?
chakula?
oxygen?
 
sasa we mshana,
mihemko iko wapi?
nimekuulizeni swali hapo mmebaki kudanadana na kujifanya hamuoni.
mashoga wanawanyimeni nini?
chakula?
oxygen?
Haya ndio maswali gani sasa! Tukiamua kuhoji kwa muktadha huo tutahoji vingapi?
 
sijui utahoji vingapi.
nimeona nikupe simple logic kabisa inayoendana na uelewa wako.
nakupa lecture rahisi rahisi kabla sijakubwisha vitu vinavyokuzidi kimo!
umekosa nini mpaka hapo kwasababu ya mashoga?
salary?
ajira?
oxygen?
lunch?
 
Nimesema as long it's not a criminal act kwa sheria ya nchi Hata hoja zenu hazina maana yoyote. As long kila MTU anaheshimu sheria za nchi sioni sababu ya kumlaani kwa sababu tu ya feeling zako binafsi.
Naona kuna mahali tunapishana lakini sidhani kama tuna sheria inayohamasisha vitendo vya ushoga hapa nchini ....labda nikumbushe iko ibara no ngapi
 
sijui utahoji vingapi.
nimeona nikupe simple logic kabisa inayoendana na uelewa wako.
nakupa lecture rahisi rahisi kabla sijakubwisha vitu vinavyokuzidi kimo!
umekosa nini mpaka hapo kwasababu ya mashoga?
salary?
ajira?
oxygen?
lunch?
Naona bado unazungukia pale pale
 
Naona kuna mahali tunapishana lakini sidhani kama tuna sheria inayohamasisha vitendo vya ushoga hapa nchini ....labda nikumbushe iko ibara no ngapi
Na hakuna mahali sheria inasema ushoga ni criminal.
 
Watu wengine wa ajabu sana, badala ya kuleta facts wanaleta matusi. Unaonyesha ni wapi akili yako ilipoishiA!!!
 
nijibuni.
mmeathirika nini kwasababu ya homosexuals?
wamewapora fedha?
wamewafisadi?
wamewanyima oxygen?
watu wameamua kwa hiari na utashi wao kufanya homo sex,
nyie viwewe vinawashika.
kwanini?
inakuwa kuwaje?
hebu nifafanulieni.
 
nijibuni.
mmeathirika nini kwasababu ya homosexuals?
wamewapora fedha?
wamewafisadi?
watu wawili waliokubaliana kwa utashi na hiari yao kufanya mapenzi ya jinsia moja iweje wawakere?
mnaumiaje yaje?
inakuwa kuwaje?
hebu nifafanulieni.
 
Hebu nipe tofauti zake tafadhali
Tofauti ni kwamba sheria haisemi kwamba kitendo cha ushoga ni criminal na kuoa jinsia moja bado haijaruhusiwa kisheria kwamba upata cheti cha ndoa kutoka serikalini.
 
Back
Top Bottom