miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Eeh Mungu nilele mwanangu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you one of them zilla!??mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Nahic namfahamu huyu jamani.....Aiseeeee... Hivi hua huoni kinyaaa ??
Kuhusu nywele mm nakupinga maana ni desturi na mila zetu. Ila naomba unielewe kuwa sitetei huo ushenzinaweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie![]()
Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie
Wazungu ni washenzi sana hii kitu waliipenyeza kidogo kidogo tukapinga na kuikataa kwa nguvu zote lakini taratibu tunaishiwa na pumzi na kuanza kuona kama ni kitu cha kawaida vile![]()
Kuna vitu vyenye kuacha maswali mengi siku hizi lakini hatuvikemei tenan
Vijana wa kiume kubusiana hadharani
Vijana wa kiume kusuka nywele tena Mitindo
Vijana wa kiume kuvaa nguo za kike
Vijana wa kiume kutoga masikio na kujikwatua kama wanawake huku wakitumia kwa sehemu kubwa vipodozi vya kike
Vijana wa kiume kuvaa mapambo ya kike nk nk
Hakuna dalili njema hapa wazungu wameharibu wa kwao sasa wamekuja kuharibu na wa kwetu...kuna baadhi ya nchi za ulaya sasa hivi kuna uhaba wa watoto wadogo au wanawake wajawazito...nani atawapa mimba?wakati fashion siku hizi ni ndoa za jinsia moja![]()
Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana
Shoga mkubwa wewe..https://jamii.app/JFUserGuide yo ass hoLeAre you one of them zilla!??
Unanifahamu Mimi Au Yule shoga?Nahic namfahamu huyu jamani.....
mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Ni kwa vile hauhusiani na jinsia mbili zinazofanana BTW ni vema ukaweka maslahi yako kwenye hili tuweze kufahamiana vemahuwa tunajifanya/mnajifanya kusikitishwa sana na ushoga, ila uasherati walaaa ndo kwanza mnaupigia chepeo.
Pole sana ndugu yangu japo nilichelewa kidogo kuweka huu uzi....naomba mamlaka zinazohusika zisije kuufuta huu uzi ili tuweze kuujadili kwa mapana yakeNashukuru sana mkuu mshana jr kwa kuweka uzi humu jamvini hakika mwanaume yeyote ambae amezaliwa kwenye maadili angepata nafasi mwanaume mwenzako akiomba umgegede nafikiri siku ingeharibika sana..kiukweli kesho yake nilikosa raha kila nikiwaza jamaa alivyokomalia akitaka nimgegede..uzuri mshana jr alitumia busara kunifata PM nikamtumia na picha za mshikaji akinionyesha mali ya nyuma na mikao yote..wenye tabia hizo badilikeni aisee
Nina mashaka na wewe yawezekana na wewe ni mmojawapo maana unavyodengua katika uzungumzaji wako unalingana kabisaaaayou always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.