Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Usenge huu sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie![]()
Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie
Wazungu ni washenzi sana hii kitu waliipenyeza kidogo kidogo tukapinga na kuikataa kwa nguvu zote lakini taratibu tunaishiwa na pumzi na kuanza kuona kama ni kitu cha kawaida vile![]()
Kuna vitu vyenye kuacha maswali mengi siku hizi lakini hatuvikemei tenan
Vijana wa kiume kubusiana hadharani
Vijana wa kiume kusuka nywele tena Mitindo
Vijana wa kiume kuvaa nguo za kike
Vijana wa kiume kutoga masikio na kujikwatua kama wanawake huku wakitumia kwa sehemu kubwa vipodozi vya kike
Vijana wa kiume kuvaa mapambo ya kike nk nk
Hakuna dalili njema hapa wazungu wameharibu wa kwao sasa wamekuja kuharibu na wa kwetu...kuna baadhi ya nchi za ulaya sasa hivi kuna uhaba wa watoto wadogo au wanawake wajawazito...nani atawapa mimba?wakati fashion siku hizi ni ndoa za jinsia moja![]()
Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana
Ndio walianza kuhalalisha ndoa za jinsia moja na kuliweka hili kwenye katiba zao BTW unaongelea vijiji vipi vya mwaka gani? Hii kitu afadhali kidogo huku mijini inavumilika lakini sio vijijini neverMbona sasa kila kitu wazungu wanasingiziwa. Ina maana kabla ya ujio wa wazungu ushoga haukuwepo afrika??? Na wale vijijini ambao ni mashoga nao wazungu?? au watoto wanaozaliwa na wanakua wakipenda jinsia Yao?? Wazungu wapo mstari wa mbele kutetea haki za binaadamu na kutetea haki za wanao nyanyaswa Kama watoto, walemavu, wanawake, na mapenzi ya jinsia moja.
Kila binaadamu anayo haki ya kupenda anayetaka. Hii ni haki ya msingi kwa kila binaadamu.
Ndio walianza kuhalalisha ndoa za jinsia moja na kuliweka hili kwenye katiba zao BTW unaongelea vijiji vipi vya mwaka gani? Hii kitu afadhali kidogo huku mijini inavumilika lakini sio vijijini never
Ishu za kutetea haki za makundi mengine haziwezi kuhalalisha kutetea ushoga ambao unapigiwa chapuo kubwa kweli kuliko hata hayo makundi mengine![]()
![]()
Idiotic comment.Haki ya kupenda na kupendwa ni haki ya msingi kwa kila binaadamu na hauwezi kumuamulia mtu kupenda unayetaka wewe.
Wewe umeamua kumpenda mke wako au mume wako sawa kabisa na Hilo mwingine halimhusu na mwingine naye akiamua kumpenda mwenzake wa jinsia moja wewe inakihusu nini? Au unapungukiwa na kitu? Waache wapendane. Na hata hao wazungu unaosema wameharibu vijana kuna mtu kalazimishwa kupenda jinsia yake ? Kuna mafunzo wanatoa au zawadi wanatoa ili kutusurutisha kupenda jinsia moja?? Hapana. Kila mtu kaamua kumpenda na kupendana na anayeona inamfaa.
Maslahi yako ni yapi kwenye hili? Hii ni ID nyingine? Unaukubali ushoga? Una watoto? Je kati yao yupo wa kiume?Haki ya kupenda na kupendwa ni haki ya msingi kwa kila binaadamu na hauwezi kumuamulia mtu kupenda unayetaka wewe.
Wewe umeamua kumpenda mke wako au mume wako sawa kabisa na Hilo mwingine halimhusu na mwingine naye akiamua kumpenda mwenzake wa jinsia moja wewe inakihusu nini? Au unapungukiwa na kitu? Waache wapendane. Na hata hao wazungu unaosema wameharibu vijana kuna mtu kalazimishwa kupenda jinsia yake ? Kuna mafunzo wanatoa au zawadi wanatoa ili kutusurutisha kupenda jinsia moja?? Hapana. Kila mtu kaamua kumpenda na kupendana na anayeona inamfaa.
Kwanini akulelee mwanao tu? Na wana wa wenzio je?Eeh Mungu nilele mwanangu tu