Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Mi ningeombe kuuliza haya wapo wengi na wanazidi kuongezeka (homosexual & Transgender)

Mnataka tuwafanye nini ???

Maana naona watu wanatukana tu hasira nyingi
Hakuna hata mmoja anae kuja na solution cha nini kifanyike? ?
 
halafu mtu anaposema tunalazimishwa tuwe mashoga anamaanisha nini?
tunalazimishwa tuwe mashoga??
teh teh teh hizi ngozi nyeusi hizi!! eti unafrican culture??
kwi kwi kwi kwi
mashoga walikuwepo, wapo, na wataendelea kuwepo bila hata hao wazungu!
hivi mnadhani hao mashoga wanapenda kuchukiwa, kutukanwa, kuchekwa, na kudharauliwa kwasababu ya ushoga wao?
mnadhani wanalifurahia hilo?
mnawaonea sana hawa ndugu zetu, hamjui ni machungu kiasi gani mnaowasababishia!!
ni ngumu sana kunielewa hili, unless uwe na uwezo wa kupambanua mambo, au uwe shoga!!
vinginevyo ligi zenu na mashoga hazitaisha mpaka yesu anarudi.
Nakuuliza tena maslahi yako kwenye hili jambo lakini bado unakwepa..sina maana mbaya bali nataka kujua unasimama wapi kwenye hili ili kuepuka guess works
 
Just as it is imposible force rain to fall before its time, it is equally imposible to control nature. Have you tried to do a little research about the effect of family planning on women using them? Try it and you will be surprised. Those advocating for such practices are beneficiaries of the whiteman tricks. Ask youself, why havent animals such as wildbeasts population gone beyond serengeti? Why are lions, Elephants and the like population is ever small compared to other animals like the wildbeasts, gazelles etc?

Are you denying that the rate at which the population is growing is threatening our planet?? As the population grows so does the need for resources to support the population growth. Man is harvesting nature as resources at an alarming rate and this is creating an imbalance in nature. About family planning am sure there are safe and unsafe methods. This is science and technology it may not be perfect since it is mans doing. Thirdly the animals you are talking about are not engaged in activities that man is engaged in.
 
I am not denying but what i dont agree with is man made interventions most of which have resulted in disastrous effects. Consider the case of cancer, high blood pressure, ovarian cysts etc. Why do you think such incidences have become more common lately? That is human interefence with nature at work.
As much as you say animals do not engage in activities that humans are involved in, think twice as animals are more destructive than humans. But, ecological carrying capacity and other natural forces keep their population in check. For example, why cant your mum give birth to 100 babies?
 
hata nikikwambia mimi ni shoga, hilo litasaidia nini?
au utanifanya nini?
naweza nikawa shoga, na naweza nikawa straight.
yote yanawezekana.
so whats the big deal over there?
or how much are going to earn from that?
siku ukizaa mtoto ndembe ndembe utayakumbuka maneno yangu, utayasaka kwa udi na uvumba ujiliwaze nafsi.
tema mate chini na umuombe mungu.
Asante now I know! You are trying to be very neutral acting the middle way.....it's so natural...mimi ni baba wa watoto watatu wote wa kiume
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
mnawachukia transgender kwasababu ya ukike kike wao, lakini hawakupenda wawe vile.
ni sawa na racial discrimination, au ni sawa na mtu mrefu anapomlaumu andunje juu ya ufupi!
hivi sijui huwa mnafikiria, au mnakurupuka, au mnapelekwa pelekwa tu na mkumbo, au labda hamuelewi, au sijui vipi?
i don't know.
si kila transgender ni shoga, na sio kila shoga ni transgender.
sasa sijajui mnachochukia ni kipi hasa.
You are either a man or a woman. Full stop. Such words like transgender are humans creation to justify their misconduct. For example, if you are African, what is the word transgender, homosexuality or lesbianism in your mother tongue?
 
Asante now I know! You are trying to be very neutral acting the middle way.....it's so natural...mimi ni baba wa watoto watatu wote wa kiume

Hata Mimi ni baba na nisingependa mwanangu kuwa shoga. Sio kwa sababu Nina tatizo na ushoga ila kwa sababu ya Watu Kama wewe ambao watawanyanyasa ikitokea wamependa jinsia moja. Au leo hii mwanao uone anawekwa Kwenye Mitandao na majukwa na kudhalilishwa Kama wewe unavyofanya sidhani Kama utarahia na kushabikia.
 
Ma vyuon wamejaa sana sasa iv,wengn mpk wanawalipa wanaume ili wawafumue,watu wazima wanaume wamekimbilia kwenye huu mchezo!
 
halafu mtu anaposema tunalazimishwa tuwe mashoga anamaanisha nini?
tunalazimishwa tuwe mashoga??
teh teh teh hizi ngozi nyeusi hizi!! eti unafrican culture??
kwi kwi kwi kwi
mashoga walikuwepo, wapo, na wataendelea kuwepo bila hata hao wazungu!
hivi mnadhani hao mashoga wanapenda kuchukiwa, kutukanwa, kuchekwa, na kudharauliwa kwasababu ya ushoga wao?
mnadhani wanalifurahia hilo?
mnawaonea sana hawa ndugu zetu, hamjui ni machungu kiasi gani mnaowasababishia!!
ni ngumu sana kunielewa hili, unless uwe na uwezo wa kupambanua mambo, au uwe shoga!!
vinginevyo ligi zenu na mashoga hazitaisha mpaka yesu anarudi.
Are you one of them? You need a single bullet on your forehead.
 
i see nothing here.
i'm wasting my time.
ukisema you are either a man or woman unamaanisha nini?
hujui kama kuna natural defects? or abnormalities?
na nikikwambia people are either black or white, utaniambia nini kuhusu albinos?
au hujawahi kuwaona vilema wewe?
viwete? vipofu?!!? what do you speak about hormonal imbalance?
wewe hujawahi kuwaona wanaume wanaota matiti na kuwa na hulka za kike?
au wamewaiga wazungu?
don't be so stupid.
 
You are either a man or a woman. Full stop. Such words like transgender are humans creation to justify their misconduct. For example, if you are African, what is the word transgender, homosexuality or lesbianism in your mother tongue?

Just because a concept doesn't have a name or word in your language or mother tongue doesn't mean the concept doesn't exist it means the language lacks adequate vocabulary. How do you call a car in your mother tongue?? Is it alSo human misconduct??
 
Mi ningeombe kuuliza haya wapo wengi na wanazidi kuongezeka (homosexual & Transgender)

Mnataka tuwafanye nini ???

Maana naona watu wanatukana tu hasira nyingi
Hakuna hata mmoja anae kuja na solution cha nini kifanyike? ?
Kuna mdau ametoa solution nzuri tu kwamba hao wanaolala nao yaani mabasha zao ndio waache huo ufirauni kwasababu wakiacha basi hao mashoga watakosa soko.
 
Hivi haiwezekani tukawafichua kutoka ndani ya jamii zetu, tukawaanika wakafahamika na wote maana itasaidia wengi kuwaepuka pale watakapokutana nao, naona hata kama humu jf wapo id zao zianikwe...
 
Back
Top Bottom