Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Kuna shoga mmoja alikuwa na saluni pale kinondoni nyuma ya mahakani, kwenye nyumba ya Cosmas Chidumule kwa mbele kidogo kwenye corner.

Cha kushangaza unakuta wahuni wanampinga mchana, lakini ikifika usiku wanambambia!
Hapo ndio nikajisemea hii vita ngumu jamani.
 
Mimi ninashangaa kila kitu kuwalaumu wazungu... Huu ushoga ulikuepo tangu enzi na enzi sasa hao wazungu wameuletaje? Ifike kipindi tutamani kuwa na mawazo mbadala sio kila kitu kulaani tu watu fulani as if wao ndio huja kuanza kutulawitia watoto wetu.. mfano chunguza sana watoto mashoga utakuta kuna sehem kama familia na jamii tumejichanganya :

1. Taasis za familia zimekua bize na malezi ya watoto kimwili na kiakili kuliko kiroho hapa nazungunzia suala la dini na imani.. msisitizo wa ibada una umuhim..

2.. Wazazi kutokua makini katika ukuaji na mfuatiliaji wa maendeleo ya watoto mfano kama mzazi ni rahis kujua mabadiliko ya tabia za mwanao ikiwa mnatenga muda wa kuwa karbu na kujadiliana baadhi ya mambo..

3.. Single Parent effects; mtoto wa kiume umelelewa na mama tu.. huna ujasiri unaogopa hadi mende.. unapenda kuteleza tu huna ukomavu.. ukikutana na wenzio wanakukaza.. Baba anajua traits za kiume walioenda jandoni waliokulia vijijini zile masculin za kiume unajua how we grew up.

4.. Hivi kweli tunaacha uhuru kwa watu tusiowaamini watulelee watoto? Just kwa sababu ya dini,? Mchungaji, shehe, padre ni wanadamu tu rohon ni kichaka huez jua wakiwa humo wanawafundsha nn watoto.. mpe mwanao ukweli kuwa usiruhusu mtu yeyote kukujaza hofu waz kukueleza chochote kinachomkabili mpe tahadhari pia...

Yapo mengi kama jamii na familia hatujayafanya tuko bze kuwalaumu wazungu as if wao ndio waliotulelea wanetu..
In case mtu umekua mtu mzima ukachagua kuwa msenge its uncontrollable by parents
 
Kuna shoga mmoja alikuwa na saluni pale kinondoni nyuma ya mahakani, kwenye nyumba ya Cosmas Chidumule kwa mbele kidogo kwenye corner.
Cha kushangaza unakuta wahuni wanampinga mchana, lakini ikifika usiku wanambambia!
Hapo ndio nikajisemea hii vita ngumu jamani.
Huo ndo unafiki wenyewe[emoji2][emoji2][emoji2]
 
ac412600c0593a1fbaa930735731ae9e.jpg
naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie
Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie
Wazungu ni washenzi sana hii kitu waliipenyeza kidogo kidogo tukapinga na kuikataa kwa nguvu zote lakini taratibu tunaishiwa na pumzi na kuanza kuona kama ni kitu cha kawaida vile
bc8edd11b145bc63a9c83b21c2465055.jpg

Kuna vitu vyenye kuacha maswali mengi siku hizi lakini hatuvikemei tenan
Vijana wa kiume kubusiana hadharani
Vijana wa kiume kusuka nywele tena Mitindo
Vijana wa kiume kuvaa nguo za kike
Vijana wa kiume kutoga masikio na kujikwatua kama wanawake huku wakitumia kwa sehemu kubwa vipodozi vya kike
Vijana wa kiume kuvaa mapambo ya kike nk nk
Hakuna dalili njema hapa wazungu wameharibu wa kwao sasa wamekuja kuharibu na wa kwetu...kuna baadhi ya nchi za ulaya sasa hivi kuna uhaba wa watoto wadogo au wanawake wajawazito...nani atawapa mimba?wakati fashion siku hizi ni ndoa za jinsia moja
6abb0b33340a8ad552147e17d6cc3878.jpg

Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana
Wazungu wametumaliza Mungu tuepushe na Hawa mashetani
 
Ndio uchawi huo wanataman dunia nzima tufanane nao kwenye huo ushetan wao. Ni ukwel.ni kuwa ata huko kwao sio wote wanakubaliana na hizo tabia
 
Mshana Jr am sorry to say kuwa unapromote ushoga kwa kiasi kikubwa japo in indirectly. kunamsemo wa kizungu unasema kuwa Seeing is Believing. Uzi wako huu unaonesha mashoga pengine kuna watu humu hawajawahi kuwaona so kupitia uzi huu wataona na kukiamini wanachokiona na worse zaidi ni kukifanyia kazi.

Unatengeneza social proof. kunawatu wanaweza kuwa mashoga na wasiwe aware na vile dunia inaenda so wakiendelea kuona wanazaidi kupata hali ya kujiamini katika hali zao.
 
Mshana Jr am sorry to say kuwa unapromote ushoga kwa kiasi kikubwa japo in indirectly. kunamsemo wa kizungu unasema kuwa Seeing is Believing. Uzi wako huu unaonesha mashoga pengine kuna watu humu hawajawahi kuwaona so kupitia uzi huu wataona na kukiamini wanachokiona na worse zaidi ni kukifanyia kazi.

Unatengeneza social proof. kunawatu wanaweza kuwa mashoga na wasiwe away na vile dunia inaenda so wakiendelea kuona wanazaidi kupata hali ya kujiamini katika hali zao.
Kuna mkanganyiko mkubwa sana linapokuja swala la kupashana habari.. Kukiwa na mifano halisi kama hiyo ku support andiko lako zinakuja dhana kama hizi....[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Kuna mwingine alimtumia pm dada wa watu hapa JF anaomba amtafutie mtu wa kumtekenya mk..ndu.
Ndio nikajua kumbe na hapa JF wapo!

Ukitaka kujua km wapo ww sifia ushoga alaf waone coment yako wanatiririka PM kama mvua
 
Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana

Nafikiri huko mbeleni ulikozungumzia ndio sasa na kuendelea....

Mapunga ni wengi sana na kulea mtoto wa kiume ni mtihani sana... Haya malezi ya uzungu mwingi nawaza sana...

Mungu akae upande wetu
 
ac412600c0593a1fbaa930735731ae9e.jpg

naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie.

Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie.

Wazungu ni washenzi sana hii kitu waliipenyeza kidogo kidogo tukapinga na kuikataa kwa nguvu zote lakini taratibu tunaishiwa na pumzi na kuanza kuona kama ni kitu cha kawaida vile.

bc8edd11b145bc63a9c83b21c2465055.jpg
Kuna vitu vyenye kuacha maswali mengi siku hizi lakini hatuvikemei tenan. Vijana wa kiume kubusiana hadharani. Vijana wa kiume kusuka nywele tena Mitindo

Vijana wa kiume kuvaa nguo za kike. Vijana wa kiume kutoga masikio na kujikwatua kama wanawake huku wakitumia kwa sehemu kubwa vipodozi vya kike. Vijana wa kiume kuvaa mapambo ya kike nk nk

Hakuna dalili njema hapa wazungu wameharibu wa kwao sasa wamekuja kuharibu na wa kwetu...kuna baadhi ya nchi za ulaya sasa hivi kuna uhaba wa watoto wadogo au wanawake wajawazito...nani atawapa mimba?wakati fashion siku hizi ni ndoa za jinsia moja.

6abb0b33340a8ad552147e17d6cc3878.jpg
Huko mbeleni malezi ya mtoto wa kiume yatakuwa na changamoto kubwa zaidi ya mtoto wa kike na sidhani kama tutaokoka na hii laana

Wapi wazungu walianzisha shule kufundisha ushoga?sie wenyewe tumeiga kwa utashi wetu,vijana wa Afrika hawakufundishwa kujipenda na kujithsmini,kujiona Bora jinsi walivyo,hizo stadi mtoto wa Kiafrika hapati popote,
Unazaliwa jamii haikufundishi kitu kizuri kuhusu utamaduni wako,
Sikuwahi kuambiwa kwanini nilibatizwa jina la kizungu,la kwenye biblia,au kwanini nipewe jina Khadija,zaidi utaambiwa lazima ubatizwe jina la mtakatifu maana majina ya Kiafrika sio ya kimungu,unapewa jina Khadija kisa tu mke wa mtume aliitwa Khadija!kwanini nisiitwe chakubanga,kyoma,Simba,tabu,siwema,sikitu,mazengo,rwoma,mwita,magesa,njau,unaaminishwa vya Kiafrika sio vzr,tatizo lipo hapo.
 
The whites are influencers of out casted cultures... Tuna ndimi mbili misaada yao tunapoipokea ina agenda nyingi za siri nyuma yake... Je tuna ubavu wa kuikataa?
 
Sio huko mbeleni mkuu hata sasa watoto wa kiume wako hatarini sana.

Kuna miharamia imehalalisha mapenzi kinyume na maumbile na hao ndio wanaoharibu watoto kwa kiasi kikubwa ukiachana pia na uraibu wa utumiaji wa mitandao ya kijamii.
 
Hahahaa...kaazi kweli kweli.

I mean, watu wanafanya ushoga kwa hiari yao halafu wa kulaumiwa wanakuwa wazungu.

Halafu, mtu kama kaamua kwa hiari yake kuwa shoga....kwa nini wengine wahemuke?

Wanawaonea wivu hao mashoga au? Wanatamani wao ndo wangekuwa wanaliwa tigo?

Sioni kwa nini nijishughulishe na mapenzi ya mwingine kuliwa tigo.

Tigo ni yake, maisha ni yake, uamuzi ni wake.

Tatizo liko wapi?
Indeed.

Baeleze!
 
Back
Top Bottom