Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Acha kuonea Wazungu hawajalea mwanao mtoto umleavyo ndivyo akuavyo wazee wangapi walikuwa wanawakati watoto wao wa kiume alafu familia inaficha wacheni ujinga wa kulaumu Wazungu hayo mambo yako Tanzania kwenye familia nyingi lakini wanaficha alafu mtoto anakua na kujitambua kama alivyo lelewa mnamlaumu?? Waulize wengi walianzia hiyo kitu wapi alafu utaelewa vizuri unafiki wa familia na jamii
 
Ok basi sawa
 
Tena wengi wao ni Kaskazini
 
Huwa hamchoki kujadili ushoga?Lakini mtoa mada ufiraji anaunga mkono.
 
Kwanini wawatake wa bandia wakati wa uhalisia wapo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…