Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wanayalazimisha, hata kama yalikuwepo Africa ilikuwa siri na bahati mbaya Kwa familia husika. Leo wazungu wanataka tuifanye sehemu ya haki. Sisi kwetu huo ni ugonjwa unatakiwa utibiwe na upoteeyou always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Suala ni kwenda kinyume na nature, amri za Munguhuwa tunajifanya/mnajifanya kusikitishwa sana na ushoga, lakini uasherati mnaupigia chepeo.
Sisi kwetu huo ni ugonjwa unatakiwa utibiwe na upotee[emoji818][emoji817]Wazungu wanayalazimisha, hata kama yalikuwepo Africa ilikuwa siri na bahati mbaya Kwa familia husika. Leo wazungu wanataka tuifanye sehemu ya haki. Sisi kwetu huo ni ugonjwa unatakiwa utibiwe na upotee
Wewe ni mmoja wao?Haki ya kupenda na kupendwa ni haki ya msingi kwa kila binaadamu na hauwezi kumuamulia mtu kupenda unayetaka wewe.
Wewe umeamua kumpenda mke wako au mume wako sawa kabisa na Hilo mwingine halimhusu na mwingine naye akiamua kumpenda mwenzake wa jinsia moja wewe inakihusu nini? Au unapungukiwa na kitu? Waache wapendane. Na hata hao wazungu unaosema wameharibu vijana kuna mtu kalazimishwa kupenda jinsia yake ? Kuna mafunzo wanatoa au zawadi wanatoa ili kutusurutisha kupenda jinsia moja?? Hapana. Kila mtu kaamua kumpenda na kupendana na anayeona inamfaa.
Na waarabu ndiyo waasisi wa kula bikra za nyuma halafu wanajifanya wakaaliArabuni wananyongwa tu hao
Nakazia. Mzungu akikwambia kula mavi na wewe utakula? Au akikwambia Nenda uchi kwenye mkutano au sokoni na wewe itaenda? Hebu kuweni waungwana. Kama wewe unashawishika kirahisi jichunguze huenda kuna kitu kimepungua tofauti na babu za babu zako. [emoji57]you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Mungu sio mpuuzi He is very fair. Ufuska ushamiri mengine yafe. Sitetei dhambi ila Tungemwelewa Muumba tungeishi na kunawiri sana. Kama wewe ni malaya mhuni wa kutupa usipinge ushoga maana ni sawa na kumwaga upupu hewani uwawashe wengine na ww umesimama hapo.huwa tunajifanya/mnajifanya kusikitishwa sana na ushoga, lakini uasherati mnaupigia chepeo.
Kuna wanaokubali ndugu yangu sasa kama mtu eg dume Zima limeambiwa utaenda kumuona yesu ukifunga hadi kufa na jitu likakubali kuna mwingine kaambiwa avae bomu akalipuke Kwa makafir akifa ataenda peponi kutafuna mabikra 70 na mtu anakubaliNakazia. Mzungu akikwambia kula mavi na wewe utakula? Au akikwambia Nenda uchi kwenye mkutano au sokoni na wewe itaenda? Hebu kuweni waungwana. Kama wewe unashawishika kirahisi jichunguze huenda kuna kitu kimepungua tofauti na babu za babu zako. [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa na wee hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na waarabu ndiyo waasisi wa kula bikra za nyuma halafu wanajifanya wakaali
Jibu hoja wa kunyumba, acha personal attacksWewe ni mmoja wao?
Ongezaa sautiii, ndo wahusika wenyeweee.Inaumizaa!!
Lakini kinachoumiza zaidi ni kuwa wanaojinasibu kuwa hawapendi vitendo hivyo ndomara nyingi huwa wafanyaj wakuu wa hivyo vitendo...