Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Kuna mahali nimesoma wanasema ukiachana na mafunzo ya ‘Kishetani’ ambayo Walimu walikuwa wanafundishwa, Walimu waligeiwa vilainishi na visafishi.

Posho yao ilikuwa 100k per day na semina ilitakiwa kuwa ya Siku 7 ila ndo ivo siku ya tatu Serikali ikashtuliwa na mmoja wa Walimu.
20230420_065925.jpg
 
Leo nduguzangu nipo ujerumani Munich hii ndio hali ulaya yote wana andamana kupigania haki za usagaji na ushoga

Cha ajabu nimewakukuta dadazetu wa tanzania [emoji1241] na bendera ya nchi wana andamana kutaka haki za usagaji na ushoga nimerekodi mwenyewe hizi muone hali ilivyo nihatari ndugu zangu sijuwi tunaendawapi kwa wazungu sikushtuka sana kilicho nishtuwa kuina dada zetu wanyumbani wamo ktk kuandamana kutupinga
CnP
 
 
you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Wazungu wanayalazimisha, hata kama yalikuwepo Africa ilikuwa siri na bahati mbaya Kwa familia husika. Leo wazungu wanataka tuifanye sehemu ya haki. Sisi kwetu huo ni ugonjwa unatakiwa utibiwe na upotee
 
Wazungu wanayalazimisha, hata kama yalikuwepo Africa ilikuwa siri na bahati mbaya Kwa familia husika. Leo wazungu wanataka tuifanye sehemu ya haki. Sisi kwetu huo ni ugonjwa unatakiwa utibiwe na upotee
Sisi kwetu huo ni ugonjwa unatakiwa utibiwe na upotee[emoji818][emoji817]
 
Haki ya kupenda na kupendwa ni haki ya msingi kwa kila binaadamu na hauwezi kumuamulia mtu kupenda unayetaka wewe.
Wewe umeamua kumpenda mke wako au mume wako sawa kabisa na Hilo mwingine halimhusu na mwingine naye akiamua kumpenda mwenzake wa jinsia moja wewe inakihusu nini? Au unapungukiwa na kitu? Waache wapendane. Na hata hao wazungu unaosema wameharibu vijana kuna mtu kalazimishwa kupenda jinsia yake ? Kuna mafunzo wanatoa au zawadi wanatoa ili kutusurutisha kupenda jinsia moja?? Hapana. Kila mtu kaamua kumpenda na kupendana na anayeona inamfaa.
Wewe ni mmoja wao?
 
Mashoga hawana shida yoyote kuna majitu machawi kwenye jamii yanasumbua lakini hayasemwi Wala nini kuna majitu serikalini yanakwapua mihela na kusababisha upungufu mkubwa wa huduma za jamii.
Kuna makasisi huko wanawafumua marinda watoto wadogo wa miaka 4,5,6 n.k lakini husikii ukemeaji kama unaofanyika Kwa mashoga. Hivyo mashoger karibuni huku ninakoishi.
 
you always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Nakazia. Mzungu akikwambia kula mavi na wewe utakula? Au akikwambia Nenda uchi kwenye mkutano au sokoni na wewe itaenda? Hebu kuweni waungwana. Kama wewe unashawishika kirahisi jichunguze huenda kuna kitu kimepungua tofauti na babu za babu zako. [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwa tunajifanya/mnajifanya kusikitishwa sana na ushoga, lakini uasherati mnaupigia chepeo.
Mungu sio mpuuzi He is very fair. Ufuska ushamiri mengine yafe. Sitetei dhambi ila Tungemwelewa Muumba tungeishi na kunawiri sana. Kama wewe ni malaya mhuni wa kutupa usipinge ushoga maana ni sawa na kumwaga upupu hewani uwawashe wengine na ww umesimama hapo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana mambo yako ni ya uhakika, hizi picha umezipatia, big up! Sasa tufanyeje? Ni hao hao waliotuletea hizi dini.
 
Nakazia. Mzungu akikwambia kula mavi na wewe utakula? Au akikwambia Nenda uchi kwenye mkutano au sokoni na wewe itaenda? Hebu kuweni waungwana. Kama wewe unashawishika kirahisi jichunguze huenda kuna kitu kimepungua tofauti na babu za babu zako. [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanaokubali ndugu yangu sasa kama mtu eg dume Zima limeambiwa utaenda kumuona yesu ukifunga hadi kufa na jitu likakubali kuna mwingine kaambiwa avae bomu akalipuke Kwa makafir akifa ataenda peponi kutafuna mabikra 70 na mtu anakubali
 
Na waarabu ndiyo waasisi wa kula bikra za nyuma halafu wanajifanya wakaali
Shangaa na wee hapo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan wanashangaza km sio kustushaa mnooo.
 
Back
Top Bottom