Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Hii pamoja na wanawake watoa tigo.
Duh kwa ke nayo ni kaz pevu sana wanatesa madaktari wakati wa kujifungua kwani naskiaga wakati wakisukuma mtoto na mbolea nayo inatoka jamani
 
Ndio Mkuu kuna kutokukubaliana kimawaZo ila sio kuleta suggestions kwamba Watu fulani wauwawe kisa tu wamependana. Hivi wewe ni nani hadi utake binaadamu wengine waishi na wafanye unavyotaka wewe??? So egoistic. Hata kwenye bibilia na misaafu mnazo amini mungu hajamlazimisha mtu kufanya atakavyo huyo mungu.
 
mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Duh...mwisho wa dunia.yani hata wanyama hawathubutu kufanya wa jinsia moja ila nyinyi mna kiburi kupingana na uumbaji wa Mungu tena hadharani. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hilo sijasema mimi..hilo la kuua
 
Hakuna kinachoshindikana duniani
Kuna vitu viko nje ya maadili yetu, miongoni mwa hayo ni hii mada uliyoileta, sasa kama mtu anatetea saaana watu wapumuliane huyo samaki tena,
 
mimi nadhani waafrika wana kaupungufu fulani kwenye kale kakipisi ka ubongo kanakohusika na kufikiri.
nawatakia evolution njema.
 
Duh kwa ke nayo ni kaz pevu sana wanatesa madaktari wakati wa kujifungua kwani naskiaga wakati wakisukuma mtoto na mbolea nayo inatoka jamani
Kwa wote ni dhambi kubwa na laana kwani lile tundu ni maalum kwa kutolea mbolea na sio vinginevyo na ndio maana hata mbegu za mwanaume zikiingia pale hazitengenezi mtoto.
 
Kuna vitu viko nje ya maadili yetu, miongoni mwa hayo ni hii mada uliyoileta, sasa kama mtu anatetea saaana watu wapumuliane huyo samaki tena,
Uta Uta lakini slogan ya JF inasema Where we dare talk openly
 
hili ni tatizo kubwa. lazima tuandae utaratibu wa kufunua na kuaribu incubator zote za mashoga hapa kwetu.
watu wapewe awareness ya kila movement na tuwakate mapema kabisa. Ninachojua kuna siku tutajikuta bila kuelewa katika kila wanaume ishirinimashoga sita au saba. hapo wakidai haki lazima wafaulu.

Hii kitu sikubaliani nayo 100%.
 
Hilo sijasema mimi..hilo la kuua

Mada yako unataka Watu waishi na wafanye Kama unavyotaka wewe. Kama mtu kaamua kuvaa nguo za kike au kusuka au kutoboa sikio wewe inakuhusu nini?? Mbona yeye haangaiki na wewe kisa hufanyi Kama yeye? Ondoka na fikra za kizamani jombaa
 
Tunatofautiana mitazamo kwahiyo kuniuliza maswali ambayo nimeshayatolea ufafanuzi haisaidii. ...kukusaidia katika hili ni wewe kubaki na msimamo wako na mimi nibaki na wangu ni mmojawapo kati yetu anaweza kuwa sahihi....na hii sio juu yetu kuamua kwakuwa huu ni mjadala
 
Kwa wote ni dhambi kubwa na laana kwani lile tundu ni maalum kwa kutolea mbolea na sio vinginevyo na ndio maana hata mbegu za mwanaume zikiingia pale hazitengenezi mtoto.

Kwani kila anayefanya mapenZi ni kwa ajili ya kupata mtoto au hujui kwamba binadamu ni moja Kati ya viumbe wanaofanya mapenzi for pleasure
 
Mh!! [emoji87] [emoji87] [emoji84] [emoji83]
 
Samahani mkuu,
Naomba maana ya TRANSGENDER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…