Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Duh kwa ke nayo ni kaz pevu sana wanatesa madaktari wakati wa kujifungua kwani naskiaga wakati wakisukuma mtoto na mbolea nayo inatoka jamaniHii pamoja na wanawake watoa tigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwa ke nayo ni kaz pevu sana wanatesa madaktari wakati wa kujifungua kwani naskiaga wakati wakisukuma mtoto na mbolea nayo inatoka jamaniHii pamoja na wanawake watoa tigo.
At least sasa umeacha yale maneno ya kipuuzi...hii ni social media hakuna haja ya vijembe na kejeli na kuleta u much know! Tunatofautiana mitazamo na si lazima mtazamo wangu wewe uukubali au niukubali wa kwako! Tubishane kwa hoja na ukiona ni upuuzi unapotezea kwakuwa forum sio moja tu
Duh...mwisho wa dunia.yani hata wanyama hawathubutu kufanya wa jinsia moja ila nyinyi mna kiburi kupingana na uumbaji wa Mungu tena hadharani. [emoji15] [emoji15] [emoji15]mtakufa kwa presha kufwatilia mambo ya watu... by the way sipendi mwanaume kujipamba kama mwanamke. but i have no problem with homosexuallity.
Usijali kuhusu hilo....!lielewe wewe kwa mtazamo wako kwakuwa aliyeandika ni wewe! Na mimi acha nihangaike na tafsiri yangu kwa uelewa Wangu
Hilo sijasema mimi..hilo la kuuaNdio Mkuu kuna kutokukubaliana kimawaZo ila sio kuleta suggestions kwamba Watu fulani wauwawe kisa tu wamependana. Hivi wewe ni nani hadi utake binaadamu wengine waishi na wafanye unavyotaka wewe??? So egoistic. Hata kwenye bibilia na misaafu mnazo amini mungu hajamlazimisha mtu kufanya atakavyo huyo mungu.
Kuna vitu viko nje ya maadili yetu, miongoni mwa hayo ni hii mada uliyoileta, sasa kama mtu anatetea saaana watu wapumuliane huyo samaki tena,Hakuna kinachoshindikana duniani
Kwa wote ni dhambi kubwa na laana kwani lile tundu ni maalum kwa kutolea mbolea na sio vinginevyo na ndio maana hata mbegu za mwanaume zikiingia pale hazitengenezi mtoto.Duh kwa ke nayo ni kaz pevu sana wanatesa madaktari wakati wa kujifungua kwani naskiaga wakati wakisukuma mtoto na mbolea nayo inatoka jamani
Huyo nae anavihusudu/anafanya hvyo vitendo vya kishoga huoni anavyowatetea wenzie...yani dume zima unapigwa dudu na mwanaume mwenzio ni laanaNahic namfahamu huyu jamani.....
Hilo sijasema mimi..hilo la kuua
Tunatofautiana mitazamo kwahiyo kuniuliza maswali ambayo nimeshayatolea ufafanuzi haisaidii. ...kukusaidia katika hili ni wewe kubaki na msimamo wako na mimi nibaki na wangu ni mmojawapo kati yetu anaweza kuwa sahihi....na hii sio juu yetu kuamua kwakuwa huu ni mjadalaMada yako unataka Watu waishi na wafanye Kama unavyotaka wewe. Kama mtu kaamua kuvaa nguo za kike au kusuka au kutoboa sikio wewe inakuhusu nini?? Mbona yeye haangaiki na wewe kisa hufanyi Kama yeye? Ondoka na fikra za kizamani jombaa
Kwa wote ni dhambi kubwa na laana kwani lile tundu ni maalum kwa kutolea mbolea na sio vinginevyo na ndio maana hata mbegu za mwanaume zikiingia pale hazitengenezi mtoto.
Mh!! [emoji87] [emoji87] [emoji84] [emoji83]Haki ya kupenda na kupendwa ni haki ya msingi kwa kila binaadamu na hauwezi kumuamulia mtu kupenda unayetaka wewe.
Wewe umeamua kumpenda mke wako au mume wako sawa kabisa na Hilo mwingine halimhusu na mwingine naye akiamua kumpenda mwenzake wa jinsia moja wewe inakihusu nini? Au unapungukiwa na kitu? Waache wapendane. Na hata hao wazungu unaosema wameharibu vijana kuna mtu kalazimishwa kupenda jinsia yake ? Kuna mafunzo wanatoa au zawadi wanatoa ili kutusurutisha kupenda jinsia moja?? Hapana. Kila mtu kaamua kumpenda na kupendana na anayeona inamfaa.
jiwe limekupatayou always put your blames on white men, why?
kuna mzungu aliyewalazimisha mfanye/wafanye hivyo?
kila binadamu ana utashi.
so if you choose to imitate something usimlaumu mwingine.
Inasikitisha sana hasa tulip na watoto wadogo. Natafakari sijui niiharibu TV ili wasiwe wanaona baadhi ya move za ajabu au niwapeleke wakakae parokiani kwa mapadri na masister. Mapadri nao baadhi si waadirifu. Duhh mungu wewe ndo mwamuzi.Eeh Mungu nilele mwanangu tu
mnawachukia transgender kwasababu ya ukike kike wao, lakini hawakupenda wawe vile.
ni sawa na racial discrimination, au ni sawa na mtu mrefu anapomlaumu andunje juu ya ufupi!
hivi sijui huwa mnafikiria, au mnakurupuka, au mnapelekwa pelekwa tu na mkumbo, au labda hamuelewi, au sijui vipi?
i don't know.
si kila transgender ni shoga, na sio kila shoga ni transgender.
sasa sijajui mnachochukia ni kipi hasa.