Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Because you are already perverted, your mind is clouded to the point of blinding your ability to distinguish right from left. One fact will always be clear, your lies and self consolation about your dirty ways of life will come to abrupt end when it will be too late for you to reverse.
Finally, your so called a question of who has the right of deciding whom to love, if you your mind is working normally, you shouldnt have asked because it is not a question. Look around you and the answer is obviuos. To help you, why do you think God created man and woman? And, each body part was made for aspecific function and not for you to improvise its use whose results can only be disaster.

To answer your question y god created man and woman
I don't know because I wasn't there when he was doing this so called creation and i don't know his mind. When you see him or talk to him ask him that question.

Though to my understanding every species has the male and female sex for the purpose of reproduction. But then again man engages in sexual activity not purely for reproduction but for pleasure as well.
 
Hii "blame game" alianza nayo Adam kule bustanini. Naona tunaiendeleza bila sababu...
...tuliletewa dini za kimagharibi na mashariki ya kati, tulipinga lakini mwisho tukakubali kuwa WAKRISTO NA WAISLAMU SAFI!! Je, tuna uhakika gani kama hizi dini ni genuine?

Baada ya "kufumbuliwa macho" kwa dini hizi, bado tunazidi kupokea mambo mengi tu ya kimagharibi na wala hatujiulizi. Mfano mzuri, tunatumia teknolojia nzuri za mashoga na wafiraji kila siku, lakini sioni mtu anayehoji kwa nini. Leo hii umeshika simu ya IPhone ya kisasa kabisa, HTC, Windows phone etc, ambazo zote hizi zimetengenezwa na watu wasijali kuhusu haya yanayotupa wasiwasi, mbona hatukatai kutumia teknolojia za magari, simu, ndege ambazo kwa uhakika zinatokana na watu wenye mrengo wa kishoga?
Tusiwe ndumilakuwili na wala hatuna sababu ya "kuwachukia" mashoga na wenye tabia za kishoga coz tunafurahia kutumia vitu vilivyotengenezwa na mashoga...
Mbona basi hatujiulizi huu utamaduni wa kuwala wanawake kinyume, kwani huo sio ushoga? Au wao wanastahili kuharibiwa mazingira yao na maumbile yao? Double standard sio kitu kizuri. Tulikubali kuwa watu wa kupokea bila kutafakari, it's too late now.

Safi sana kiongozi.
 
Wana tofauti gani na wale wanaokula wanawake kinyume na maumbile? Msitake kuona dhambi moja wakati tunafanya madhambi mengi ya kufanya mtu.

Unawachukia wafiraji/wafirwaji ili hali hiyo nokia/Samsung/HTC nk unazotiumia kuwasema watu zimetengenezwa na mikono ya wanaoamini katika kufirwa/kufira? Kwa nini kama unawachukia usichukie na vitu vinavyotokana na wao?

Kumsingia mzungu katika upumbavu wetu wenyewe ni kuonyesha jinsi gani tunazidi kuonekana tegemezi na wapumbavu mbele za hao wazungu. Hatuna utashi wa kupembua baya na jema hadi tusingizie wengine kwa vitu ambavyo tunaweza kujiongoza wenyewe...come on mshana jr
akili ndogo sijapatapo kuona
 
akili ndogo sijapatapo kuona
Kwa sababu ulisharuhusu akili kubwa(mzungu) kuongoza akili ndogo(yako), hata kutafakari huwezi, kila unaposhindwa kitu unamsingizia mzungu.

Yani "wazungu wametuharibia vijana wetu", kwa vile hao vijana wameshikwa akili hawana utashi kabisa wa kujua jema na baya.

Unapomsingizia mzungu kwa upumbavu wako, bado kuna stages katika evolution utakuwa hujazipitia....poor you!!
 
Katika hili shetani amefanikiwa kwa kiasi kikubwa, Mshana nadhani unafahamu hii ni idara mojawapo ya kuzimu
 
Yenye wanachama wengi sana
Kweli kabisa, na ndo maana Rais wa nchi fulani kubwa duniani anajaribu kutuonesha hili ni jambo la kawaida, nyuma ya pazia kuna mpango madhubuti wa huko kuzimu. Hapa tutatoka kwa maombi na labda kufanya ibada sana
 
Kweli kabisa, na ndo maana Rais wa nchi fulani kubwa duniani anajaribu kutuonesha hili ni jambo la kawaida, nyuma ya pazia kuna mpango madhubuti wa huko kuzimu. Hapa tutatoka kwa maombi na labda kufanya ibada sana
Kuna watu nimewashangaa sana hapa wamenishutumu kuwa nimeweka picha za kudhalilisha wahusika, OMG! Ama kweli ukipenda chongo utaona kengeza, hizo picha wahusika wamejipiga na kuzisambaza mitandaoni wenyewe mimi kuziweka hapa nikaonekana nawadhalilisha
Inawezekana neno kudhalilisha lina tafsiri nyingi
 
Kila mtu ana mtazamo wake na naheshimu hoja zenye mashiko, kwenye huu uzi nakiri kuwa hukuelewa muktadha mzima wa kile nilichoandika au la tuna misimamo na uelewa tofauti kwenye hili

Kwa hiyo ulitaka bango lako lichangiwe na watu wenye msimamo sawa na wako? Basi ungetahadharisha ili wenye msimamo tofauti tusichangie.

Bango lako lipo wazi "wazungu wametuharibia vijana wetu". Niambie ni nini hasa maana ya hiyo heading.
 
Kwa hiyo ulitaka bango lako lichangiwe na watu wenye msimamo sawa na wako? Basi ungetahadharisha ili wenye msimamo tofauti tusichangie.

Bango lako lipo wazi "wazungu wametuharibia vijana wetu". Niambie ni nini hasa maana ya hiyo heading.
Mmh kwanini hii heading imekugusa kiasi hiki?
 
Mmh kwanini hii heading imekugusa kiasi hiki?
Kiongozi, tunaongelea hoja uliyoiweka. Nami nimechukua sehemu tu ya mada yako, au ukikurupushwa kuandika heading bila kufikiria?
I bet umefanya mijadala mbalimbali, watu wanachukua sehemu ndogo tu ya kile unachosema na kuanzisha mjadala. Nijibu basi, wazungu wametuharibia vijana wetu, hao vijana wenu akili zao zipo wapi hadi waharibiwe? Unataka kusema vijana wenu hawana utashi hadi wamagharibi wawaharibu from miles away??
 
Back
Top Bottom