Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Asante now I know! You are trying to be very neutral acting the middle way.....it's so natural...mimi ni baba wa watoto watatu wote wa kiume
Hata wangekuwa wa kike,brother umeleta uz ambao ambao unagusa jamii moja kwa moja so watu wengine huwa hatuelewi haraka so tarajia majibu mengi yenye ukakasi nawachukia mashoga na washirika wao
 
Duu hizi ndio nyuzi za kudelete.
Lakini mods wameiachia since 2015....
 
Watu wakitawaliwa na mfumo usiotoka kwa muumba (dini) lazima mambo yataharibika tu!

Na ndio kwanza tumetumia 3% ya Umagharibi. Kabla ya washenzi kutuletea ushenzi, sisi tulikuwatunaishi na ustaarabu mzuri tu!.
 
Sisi ndio twawaendekeza ilitakiwa hawa watu wasiwe wanaona usiku akijulikana tu ni shoga wanamtoa fasta lazima watajificha au kuacha kabisa
Hao hao wazungu ambao watu wanasema tusiwalaumu katika hili utawaona wameshikilia bango na bendera kudai haki za binadamu zinakiukwa. Hawa jamaa wametumezesha vitu vingi sana, vizuri na vichafu sasa mpaka hatujitambui na kila la mzungu kwetu ni dhahabu bila kupima athari yake.
Tumuombe Mungu kiongozi mkuu wa nchi amfungulie na hili alione labda tunaweza okoka kwa ule msimamo wake.
Saivi vijana wengi wamekuwa na mionekano ya kike kuanzia mavazi vitendo na hata mienendo.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Lakini vilainishi vimepigwa marufuku
Kiongozi naona umeletewa chakula ndani kabisa, watu wanauza in "open space" siku hizi....
 
Wasiwe kama kina James Delicious
1469707870846.jpg
1469707874559.jpg
1469707877875.jpg
 
Back
Top Bottom