ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
AMEN TO THAT ONE! MOLA AWATUNZE NA KUWALINDA WATOTO WETU WA KIUME, MILELE YOTE!Wasiwe kama kina James Delicious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMEN TO THAT ONE! MOLA AWATUNZE NA KUWALINDA WATOTO WETU WA KIUME, MILELE YOTE!Wasiwe kama kina James Delicious
Haki ya kupenda na kupendwa ni haki ya msingi kwa kila binaadamu na hauwezi kumuamulia mtu kupenda unayetaka wewe.
Wewe umeamua kumpenda mke wako au mume wako sawa kabisa na Hilo mwingine halimhusu na mwingine naye akiamua kumpenda mwenzake wa jinsia moja wewe inakihusu nini? Au unapungukiwa na kitu? Waache wapendane. Na hata hao wazungu unaosema wameharibu vijana kuna mtu kalazimishwa kupenda jinsia yake ? Kuna mafunzo wanatoa au zawadi wanatoa ili kutusurutisha kupenda jinsia moja?? Hapana. Kila mtu kaamua kumpenda na kupendana na anayeona inamfaa.
Unakuaje transgender bila kuwa shoga?? If you feel trapped in the wrong body then you are bound to want to look and act like a woman wakati you were born a man and vice versa. So consequently you become a homosexual.mnawachukia transgender kwasababu ya ukike kike wao, lakini hawakupenda wawe vile.
ni sawa na racial discrimination, au ni sawa na mtu mrefu anapomlaumu andunje juu ya ufupi!
hivi sijui huwa mnafikiria, au mnakurupuka, au mnapelekwa pelekwa tu na mkumbo, au labda hamuelewi, au sijui vipi?
i don't know.
si kila transgender ni shoga, na sio kila shoga ni transgender.
sasa sijajui mnachochukia ni kipi hasa.
Natafuta bwanaa tena mwenye dudu kubwaaa
mrudie muumba wako akusamehe inasikitisha sanaNatafuta bwanaa tena mwenye dudu kubwaaa
Sasa cha kusikitisha nini hapomrudie muumba wako akusamehe inasikitisha sana
[emoji57] [emoji57] [emoji5] [emoji5][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Lakini vilainishi vimepigwa marufuku
Sasa cha kusikitisha nini hapo
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Natafuta bwanaa tena mwenye dudu kubwaaa
Hahahaha Mbona wanyamaaahii thread ifutwe nawachukia hawa wanyama
Njooni huku huyu mwingine hapa, anatetea kupigwa mkwaju.mbona wanawake wanaovaa suruali hamuwazungumzii?
Ondoa shaka mkubwa, huyu ndiye yeye.Nina mashaka na wewe yawezekana na wewe ni mmojawapo maana unavyodengua katika uzungumzaji wako unalingana kabisaaaa
Sasa kwa kua wanaongezeka bora kuwahesabu huyu wa pili.Mbona sasa kila kitu wazungu wanasingiziwa. Ina maana kabla ya ujio wa wazungu ushoga haukuwepo afrika??? Na wale vijijini ambao ni mashoga nao wazungu?? au watoto wanaozaliwa na wanakua wakipenda jinsia Yao?? Wazungu wapo mstari wa mbele kutetea haki za binaadamu na kutetea haki za wanao nyanyaswa Kama watoto, walemavu, wanawake, na mapenzi ya jinsia moja.
Kila binaadamu anayo haki ya kupenda anayetaka. Hii ni haki ya msingi kwa kila binaadamu.
Kwahiyo wewe unatakaje?waafrika wakisikia neno shoga, vichwani mwao picha inakuja ya mwanaume aliyepaka lipstick! tehh tehh i am not sure if homosexuallity is all about lipsticks, skirts, and make ups! mashoga mnaishi nao kila siku wengine ni wadogo zenu na hamuwajui... by the way hao mnaowazungumzia hapa ni transgender sio homosexuals!! kuna tofauti kubwa sana kati ya transgender na homosexual.... transgender is an individual who feels being trapped in a wrong body, not necessarily being a homosexual!!!.
Wewe wa avatar, mbona unauliza hivyo tena?Halafu hizi picha za wasenge walaaniwa mnazopost huku zinazidi kutia kinyaa
Hivi naomba kujuzwa Cc : mshana jr[/USER] hivi kuua shoga ni kosa kwa sheria za hapa nchini?