Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

Hapana bhana. Ni nchi gani Africa ilishachukua KOMBE LA DUNIA?? Utafiti wako siyo wa kweli. Maana waafrica tuna nguvu miguuni na vipaji pia. nCHI GANI HIYO
 
Mtu akifikia hatua ya kuishi kwa kuyafahamu mambo haya basi uwa ameishajikomboa kutoka matekani, na sasa yu mtu huru kifikra,kihisia, kiroho na kimwili.
 
Endelea kuchimba maktaba zetu za kale, utajua kwamba mwafrika ni kiumbe chenye akili kushinda vyote. 'We[black men] did our best and they[light skin race] deceived us with their dubious interest.'
Hili liko wazi,
Ndio maana wazungu huwa wako macho sana na kuwa wakali (ikibidi kuua) mwafrika yoyote mwenye mawazo ya kimapinduzi. Mf. Martin Luther king jr. Malcom X, Bob Marley, Muhmur Gaddafi, Magu? na wengineo.
 
Mkuu hiki ulichoandika unamaanisha au unatania ?
Sisi kama tulikuwa superior kwa nini hatukwenda kuwa colonise wao huko europe?
Katika kuukimbia ukweli , africans tunazidi kujichimbia chini, , matter of the fact ni kuwa jamaa walitutangulia .
Hata mimi nakataaa bandikio
lake, au anajifichia kwa Misri?
 
Steve Jobs ni mwarabu
 
Hapana bhana. Ni nchi gani Africa ilishachukua KOMBE LA DUNIA?? Utafiti wako siyo wa kweli. Maana waafrica tuna nguvu miguuni na vipaji pia. nCHI GANI HIYO
Sijazungumzia nchi mm, nimezungumza utofauti uliokuepo kwa asili mbili,swala la nchi tayari ni jumuia/wingi.

Kikosi cha Ufaransa unakionaje? Mablack wako wangapi? Hata Afrika tunaweza kuchukua lakini kasoro yetu, hatuna maarifa na akili ya kuandaa miundombinu kama wazungu.

Hapo ndio tulipozidiwa tu
 
Nitakuuliza swali: kati yako wewe na mzungu, yupi bora? Nani ana akili zaidi?
 
Alama ya swali '?' inahusika.
Ila una haki ya kujiuliza na kushangaa maana nabii hakubaliki kwao.
Na ndiko haswa hawa jamaa walikotufikisha.
Nabii kutokubalika kwao sio Magu tu
 
Jamaa waka tupa na syllabus eti wa africa tume evolve kutoka kwenye nyani sasa wazungu sijui walitoka wapi na mwalimu ana kua yuko makin eti ana fundisha hvyoo
Mhhhh....! hii nchi
 
Nitakuuliza swali: kati yako wewe na mzungu, yupi bora? Nani ana akili zaidi?
Hii ni dalili ya kufilisika hoja , umetoka kwenye mada unakuja kwenye personal effects, mzungu ni general term ndani yake kuna machizi na wajinga pia , ziwezi lingana uwezo na machizi wazungu obviuos nitakuwa juu yao ki fikra , ila siwezi kusema nina akili zaidi ya Mckenzie scott


At 37 years Mark zuckerberg ana ukwasi wa kutosha kwa kuanzisha facebook na sasa anamikiki whats up , kwa umri wangu huyu ni mtoto ambaye kama angekuwa anakaa hapa tandale basi ningeshuhudia kuzaliwa kutambaa hadi kutembea kwake , hebu nitajie african innovators kwa umri wa mark , maana natumaini hata wewe unatunia whats up na facebook zake
 
Watu weusi wana historia ya kufanya mambo makubwa. Fanya utafiti. Kwenda mwezini tu kwa mara ya kwanza kumefanikishwa kwa kiwango kikubwa na watu weusi wanamama. Achilia mbali mambo ya nuclear, archtech n.k

Civilization za kwanza zinamuhusu sana mtu mweusi huko misri. Achilia mbali ujenzi wa pyramids na maajabu yake.
 
Ninachokuhakikishia hata ukikataa au kusema kuisha hoja, wewe umeathirika sana na hujiamini sababu tu ni mweusi au ni muafrika. Hilo ndio nimelisema mwanzo kuwa bomu kwenye mind ndio hii sasa. Unatoa mfano wa Mark Zuckerberg, kwanini usiseme Max Mello au sababu huyo wa WhatsApp na Facebook ni tajiri zaidi na ni mzungu? Unajua mazingira ambayo Max amevumbua hii platform angefanya makubwa kiasi gani kama yeye na Mark wangekuwa kwenye mazingira sawa? Internet yenyewe umeijua juzi wewe ndio maana una mtazamo huo. Acha kujidharau wewe ukajiona fala sababu ni mweusi. Unajua nguvu iliyo kwenye machapisho na nani anaamua nini kijulikane nini kisijulikane?

umewahi kujiuliza kwanini global media giants zinaliport mambo mabaya tu kuhusu Africa? Magonjwa, vita, njaa, migogoro isiyoisha na ukimbizi? Hakuna mazuri ya kutangaza? Acha ufala.
 
Matusi ya nini?
Umeshindwa kujadili hoja kiungwana hadi unifukane?, Nimekutukana sehemu yoyote ? Hizi ndio mindsets tunategemea tuwe first class , kwamba ukiishiwa hoja ulazimishe kwa matusi?
Please tusiendelee , for the sake of both worlds
Umeshinda weye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…