Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Hatuzungumzii chimbuko la mzungu tunazungumzia Mzungu ni nani haijalishi hata kama alihamia hapo islael kama ni kweli uwe unaelewa swali linataka nini nimezungumzia islael ili kuongeza nyama nikazungumzia pia dini ya ukristo kuongeza nyama.
 
Mtume Paulo alisambaza Ukristo.

Mtume Paulo ni Mzungu?
 
Weee.. ujue wewe unaweza taka kuwa positive lakini utatupiwa Jambo mwisho wa siku utakuwa negative
 
Acha kamba, mzungu asili yake ni bara la ulaya, hao waisraeli hawajawahi kusambaza ukristo kwa sababu hawamwamini huyo kristo na wana dini yao inayoitwa dini ya kiyahudi. Mtume Paulo ndiyo myahudi aliyepeleka ukristo kwa mataifa ikiwemo rumi (italy) na hao wataliano ndo walileta ukristo huku afrika.
 
Sawa, ila unaposema wazungu hawaamini ukristo suala sio kuamini suala ni ukristo uenee wao wana makusudi yao sikuwataja wayahudi sio kwamba siwajui lengo lao wote ni moja baada ya wayahudi wazungu ndo wamekazia hapo hapo!
 
Kitendo cha kuamini kuna uchawi mpaka hapo ni ujinga tayari.

Na ndio maana masikini wengi waishio mijini na vijijini wasio na elimu ndio wanaamini uchawi.

Na wanaamini uchawi sababu ni wajinga na ni wajinga ndio maana ni masikini.

Kama wengi wenu humu mnaamini uchawi sababu ni wajinga na masikini pia.
Still unaweza ukasoma na ujinga ukabaki palepale considering education system yetu ni mbovu.
Na ndio sababu graduates wengi masikini.

Hiyo ni FACT.

For instance mtu biashara yake haiendi sababu hajui kufanya biashara sababu ni mjinga.
Hajui uchumi wa nchi unaendaje.
Hajui uchumi wa watu anaowauzia
Sababu hajui anawauzia watu wa aina gani.
Wala hajui anamlenga nani.
Pia hajui kwanini anafanya hiyo biashara.

Biashara sio kuuza tu biashara unahitaji elimu or kama huna elimu au unayo elimu ila bado mjinga basi utaenda kwa mganga na huo ndio ujinga ninaouongelea.

Hiyo ni FACT.

Haya mnayoandika ni story za vijiweni kuchangamsha kijiwe.


Bytheway I feel sad kuona africans bado mnaamini uchawi bado tuna safari ndefu sana.
 
You are still a teenager...Subiri ukue ndo utaelewa...
 


We call your kind .....”Such a laughing stocke!”

A country bumpkin who believes that .............

Mengine tumalizie wenyewe!!!

Nimechoka!
 
Dogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho.

Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.

Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
 
Ili urogeke ni lzm uamini uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…