Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Hatuzungumzii chimbuko la mzungu tunazungumzia Mzungu ni nani haijalishi hata kama alihamia hapo islael kama ni kweli uwe unaelewa swali linataka nini nimezungumzia islael ili kuongeza nyama nikazungumzia pia dini ya ukristo kuongeza nyama.weye nae hujui ni muongo!!. Mzungu hajatoka Israel ya leo , alivamia tu pale.
Bali Ametoka mapango ya milima ya cauccus miaka 6000 tu iliyopita wakati huo weusi ndiyo vinara wako kibao Duniani hasa mesopotamia ya kale yote ile ukiweka pamoja na Israel ya leo.ni weusi tupu walikuw a hao wayahudi wa leo ni wavamizi tu.