Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Mkuu kwani watu wangapi walipona stroke hospital?Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.
Sina takwimu,ila nachojua wapo watu wamepona stroke pasina kwenda hospitali bali wameponea kwa waganga.Mkuu kwani watu wangapi walipona stroke hospital?
Upo sahihi sababu baada ya stroke ubongo unaanza kuricover wenyewe so kuna uwezekano mdogo wa kupona stroke bila ya kwenda hospital kabisa.Sina takwimu,ila nachojua wapo watu wamepona stroke pasina kwenda hospitali bali wameponea kwa waganga.
Unaweza kufanya kautafiti kidogo ili kupata undani wa hili suala hakuna haja ya kutoa jibu la kufikirika tu. Na kumbuka nimesema kuwa wapo watu wanaenda kuponea stroke kwa waganga kama ambavyo wengine wanaenda kuponea hospitali.Upo sahihi sababu baada ya stroke ubongo unaanza kuricover wenyewe so kuna uwezekano mdogo wa kupona stroke bila ya kwenda hospital kabisa.
OkUnaweza kufanya kautafiti kidogo ili kupata undani wa hili suala hakuna haja ya kutoa jibu la kufikirika tu. Na kumbuka nimesema kuwa wapo watu wanaenda kuponea stroke kwa waganga kama ambavyo wengine wanaenda kuponea hospitali.
Tatizo lako ni kwamba unashindwa kutofautisha kati kutokuwepo uchawi na wewe kukataa uchawi(kutoamini).Story za uchawi zinaamini na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.
Inawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwaHuyo bibi still bado anatumia ndumba za kale nijuavyo wazungu huwa na tabia ya kumwita lucifer live na kusolve mambo yao endapo anaona anapata challenge zisizo na sababu yoyote.
Haya maelezo yako hayana maana yoyote katika mjadala huuAmerica ya Kaskazini watu wwnye origin huku wanaitwa Native Amwricans, pia zamani wakiitwa Red Indians.
Hawa ni wazungu?
Wengine wote walikuja kutoka Ulaya, Africa na Asia.
Tuna safari ndefu sanaukitaka amini wazungu ni wachawi ujenzi wa madaraja haya ya kawaida. bwana weee! Wana sarakasi si kawaida. Hapo mweusi huitwi. Unasubiri nje Kama lile la kirumi. TARIME/ musoma jamani wee! walikuwa wanajenga usiku tu. Hapo ni baada ya company kibao kushindwa.
Tatizo lako ni kwamba unashindwa kutofautisha kati kutokuwepo uchawi na wewe kukataa uchawi(kutoamini).
Kuna watu wanaugua na hawaendi kutibiwa hospitali wanatibiwa kwa waganga huko na wanapona.
Thihitisha Kama Mtume Paulo alisambaza ukrietoMtume Paulo alisambaza Ukristo.
Mtume Paulo ni Mzungu?
Sio kupona bila kwenda hospitali bali kupona baada ya kwenda mwa mganga na kutibiwa kwa tatizo la kichawi,kwahiyo watu wenyewe wanajua kuwa hili ni tatizo la hospitali na kwenda hospitali na hili ni la kwenda kwa mganga kwa sababu ni la kishirikina.Umefikiri kabla ya kuandika au umeandika tu?
Kutibiwa bila kwenda hospitali hakuna uhusiano wowote na imani za kishirikina. Mtu anaweza kupona kwa uwezo wa immunity yake tu, hujasikia watu wameumwa corona na kupona bila kutumia dawa yeyote wengine bila hata kujua. Huo nao ni uchawi?
Aidha kuna tofauti kati ya waganga wa jadi (watoa huduma kwa njia za jadi) na washirikina/wachawi.
Zile habari za mama kujifungua kuku ni script tu kupigiana promo kama ambavyo mpigadebe alivyo cheza drama na yule mama wa mlandiziSawa, hakuna uchawi.
Unazungumzia story za vijiweni, na hufaham lifestyle yangu.
Zunguka dunia Dogo, we bado mtoto...
Hata habari ya yule Mama aliyejifungua kuku haijakuelimisha, inaonekana.
Mkuu kunywa bia nitalipa mimiDogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho.
Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.
Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
Utakuta haka kanakoandika hapa Ni ka graduate kametenga matako kwenye Kochi la familia halafu kanajikuta kanaijua dunia kiask Cha ku-conclude HAKUNA UCHAWI.Usilete story na emotions kwenye mada.
Nijibu
Unaweza kuprove uwepo wa uchawi?
Ukitaka kujua mtu aliyekurupuka au asiyejua anachokiongelea ni kumuuliza maswali then ashindwe kujibu.
Kushindwa kujibu maswali yangu ni proof tosha hujui ulichoandika au huwezi kujibu opinions as facts sababu zimeegemea perspective.
Hivyo unaleta emotions na self defense ili kufifisha mada.
Jibu hayo maswali.
Pia mimi jf hatuitani dogo sababu hatujuani.
Hii inawezekana kabisa[emoji1787][emoji1787]Inawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwa
Aliyeitwa shetani ndiye Mungu na Mungu wakamwita shetani
Haimithiliki shetani awe msaada kuliko Mungu
Allah 'ahmaqInawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwa
Aliyeitwa shetani ndiye Mungu na Mungu wakamwita shetani
Haimithiliki shetani awe msaada kuliko Mungu
Sio kupona bila kwenda hospitali bali kupona baada ya kwenda mwa mganga na kutibiwa kwa tatizo la kichawi,kwahiyo watu wenyewe wanajua kuwa hili ni tatizo la hospitali na kwenda hospitali na hili ni la kwenda kwa mganga kwa sababu ni la kishirikina.