Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.
Mkuu kwani watu wangapi walipona stroke hospital?
 
Sina takwimu,ila nachojua wapo watu wamepona stroke pasina kwenda hospitali bali wameponea kwa waganga.
Upo sahihi sababu baada ya stroke ubongo unaanza kuricover wenyewe so kuna uwezekano mdogo wa kupona stroke bila ya kwenda hospital kabisa.
 
Upo sahihi sababu baada ya stroke ubongo unaanza kuricover wenyewe so kuna uwezekano mdogo wa kupona stroke bila ya kwenda hospital kabisa.
Unaweza kufanya kautafiti kidogo ili kupata undani wa hili suala hakuna haja ya kutoa jibu la kufikirika tu. Na kumbuka nimesema kuwa wapo watu wanaenda kuponea stroke kwa waganga kama ambavyo wengine wanaenda kuponea hospitali.
 
Ok
 
Story za uchawi zinaamini na wavivu wa kufikiri na kusambazwa na wajinga.
Tatizo lako ni kwamba unashindwa kutofautisha kati kutokuwepo uchawi na wewe kukataa uchawi(kutoamini).

Kuna watu wanaugua na hawaendi kutibiwa hospitali wanatibiwa kwa waganga huko na wanapona.
 
Huyo bibi still bado anatumia ndumba za kale nijuavyo wazungu huwa na tabia ya kumwita lucifer live na kusolve mambo yao endapo anaona anapata challenge zisizo na sababu yoyote.
Inawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwa

Aliyeitwa shetani ndiye Mungu na Mungu wakamwita shetani

Haimithiliki shetani awe msaada kuliko Mungu
 
ukitaka amini wazungu ni wachawi ujenzi wa madaraja haya ya kawaida. bwana weee! Wana sarakasi si kawaida. Hapo mweusi huitwi. Unasubiri nje Kama lile la kirumi. TARIME/ musoma jamani wee! walikuwa wanajenga usiku tu. Hapo ni baada ya company kibao kushindwa.
Tuna safari ndefu sana

Karne hii ya 21 bado kuna watu wanamitazamo kama hii?
 
Tatizo lako ni kwamba unashindwa kutofautisha kati kutokuwepo uchawi na wewe kukataa uchawi(kutoamini).

Kuna watu wanaugua na hawaendi kutibiwa hospitali wanatibiwa kwa waganga huko na wanapona.

Umefikiri kabla ya kuandika au umeandika tu?

Kutibiwa bila kwenda hospitali hakuna uhusiano wowote na imani za kishirikina. Mtu anaweza kupona kwa uwezo wa immunity yake tu, hujasikia watu wameumwa corona na kupona bila kutumia dawa yeyote wengine bila hata kujua. Huo nao ni uchawi?

Aidha kuna tofauti kati ya waganga wa jadi (watoa huduma kwa njia za jadi) na washirikina/wachawi.
 
Sio kupona bila kwenda hospitali bali kupona baada ya kwenda mwa mganga na kutibiwa kwa tatizo la kichawi,kwahiyo watu wenyewe wanajua kuwa hili ni tatizo la hospitali na kwenda hospitali na hili ni la kwenda kwa mganga kwa sababu ni la kishirikina.
 
Sawa, hakuna uchawi.
Unazungumzia story za vijiweni, na hufaham lifestyle yangu.

Zunguka dunia Dogo, we bado mtoto...

Hata habari ya yule Mama aliyejifungua kuku haijakuelimisha, inaonekana.
Zile habari za mama kujifungua kuku ni script tu kupigiana promo kama ambavyo mpigadebe alivyo cheza drama na yule mama wa mlandizi
 
Dogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho.

Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.

Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
Mkuu kunywa bia nitalipa mimi
 
Usilete story na emotions kwenye mada.

Nijibu
Unaweza kuprove uwepo wa uchawi?

Ukitaka kujua mtu aliyekurupuka au asiyejua anachokiongelea ni kumuuliza maswali then ashindwe kujibu.
Kushindwa kujibu maswali yangu ni proof tosha hujui ulichoandika au huwezi kujibu opinions as facts sababu zimeegemea perspective.

Hivyo unaleta emotions na self defense ili kufifisha mada.

Jibu hayo maswali.

Pia mimi jf hatuitani dogo sababu hatujuani.
Utakuta haka kanakoandika hapa Ni ka graduate kametenga matako kwenye Kochi la familia halafu kanajikuta kanaijua dunia kiask Cha ku-conclude HAKUNA UCHAWI.

AJIONAE ANAJUA KUMBE HAJUI LOLOTE
 
Sio kupona bila kwenda hospitali bali kupona baada ya kwenda mwa mganga na kutibiwa kwa tatizo la kichawi,kwahiyo watu wenyewe wanajua kuwa hili ni tatizo la hospitali na kwenda hospitali na hili ni la kwenda kwa mganga kwa sababu ni la kishirikina.

Magonjwa kama yapi?
 
Back
Top Bottom