Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Mkuu kwani watu wangapi walipona stroke hospital?Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.