mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Kama wazungu hajui uchai lize filam za kichawi nani aliwapa lile wazo ?
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yangu ni kwamba huwezi kutaka kuthibitishiwa kitu ambacho hukijui,huijui computer huwezi kuanza kutaka kuthibitishiwa uwepo wa computer hali ya kuwa hata hujui computer ni nini hivyo lazima ujue computer ni kitu gani.Mfano wako hau relate na hoja yangu kiufupi uko irrelevant
Definition ya computer umeijulia wapi?..
Sio kweli kwamba ili uthibitishiwe kitu ni lazima ukijue, unaweza usikijue kitu halafu uthibitisho ulioomba ukakupa elimu ya kukijuaHoja yangu ni kwamba huwezi kutaka kuthibitishiwa kitu ambacho hukijui,
huijui computer huwezi kuanza kutaka kuthibitishiwa uwepo wa computer hali ya kuwa hata hujui computer ni nini hivyo lazima ujue computer ni kitu gani. Maana uthibitisho ni hatua ya kuhakiki sasa huwezi kukurupuka kutaka kuhakiki usichokifahamu hata kinafananaje.
Nimekwambia unapotaka kuthibitishiwa maana yake unataka kuhakiki,sasa unahakiki vp ambacho hukijui?Sio kweli kwamba ili uthibitishiwe kitu ni lazima ukijue, unaweza usikijue kitu halafu uthibitisho ulioomba ukakupa elimu ya kukijua...
Nikupe mfano wa ndugu yangu alikuwa na rafiki yake walienda Tanga,kufika kule yule ndugu yangu ziwa lake moja likavimba na kuwa kuwa kubwa na yule rafiki yake macho yakawa yanawasha sana kama mtu anayasugulia na mchanga. Hawakwenda hospitali walikwenda kwa mganga na kutibiwa huko na kuambiwa ilikuwa ni uchawi aina zongo.Magonjwa kama yapi?
Nikupe mfano wa ndugu yangu alikuwa na rafiki yake walienda Tanga,kufika kule yule ndugu yangu ziwa lake moja likavimba na kuwa kuwa kubwa na yule rafiki yake macho yakawa yanawasha sana kama mtu anayasugulia na mchanga. Hawakwenda hospitali walikwenda kwa mganga na kutibiwa huko na kuambiwa ilikuwa ni uchawi aina zongo.
Kwa mganga sio hospitali ambako kuna vipimo vya kujua tatizo lanalo msumbua mtu,ndio maana hata wewe unajaribu tu kuotea kuwa labda ilikuwa Allergy au maradhi mengine ila walipoenda kwa mganga na mganga alijua tatizo ni nini na akawatibu.Vp kama walipatwa na allergy au maradhi mengine?
Ukiambiwa kitu fulani ni uchawi na kupewa dawa ukapona hiyo inahalalisha kwamba ni uchawi?...
Kwa mganga sio hospitali ambako kuna vipimo vya kujua tatizo lanalo msumbua mtu,ndio maana hata wewe unajaribu tu kuotea kuwa labda ilikuwa Allergy au maradhi mengine ila walipoenda kwa mganga na mganga alijua tatizo ni nini na akawatibu...
[emoji16][emoji16][emoji16]Huu ujinga peleka darasani. Mtaani Hali ni tofauti
AiseeLondon kuna sehemu moja Inaitwa camden
Wazungu wanauza sana uchawi hapo
Sema uchawi wa wenzetu huko siyo wa kuumizana
Ova
WordsBiashara zao ni ubora wa bidhaa na huduma. Tz biashara haziendi kwa kuwa umasikini umezidi, watu hawana pesa za kutumia. Nchi zilizoendelea kuna ajira na kupelekea watu wengi kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi, hivyo biashara zinashamiri.
Muulize Dr. Mwinyi yeye sio anao Blue EconomyMwenyewe naisikia tu
AsanteWabongo wanaloga kisiri Siri, wenzetu uchawi unaheshimika.
Ni taaluma Kama taaluma nyingine.
Watu wanasoma mpaka wanahitimu na wanaajiliwa na wengine wanajiajiri.
Wenzetu wanatumia uchawi kufanya maendeleo makubwa Sana nchini mwao.
View attachment 1648846View attachment 1648847View attachment 1648848
This is fallacy.Nimekwambia unapotaka kuthibitishiwa maana yake unataka kuhakiki,sasa unahakiki vp ambacho hukijui?
Sasa hapo ni tatizo lako kutoweza kuthibitisha jambo ambalo unalijua. Na kwa pointi hiyo umekosa vigezo vya kumfanya mwingine ajueKujua kitu ni jambo moja na kuthibitisha ni jambo lengine.
ukitaka amini wazungu ni wachawi ujenzi wa madaraja haya ya kawaida. bwana weee! Wana sarakasi si kawaida. Hapo mweusi huitwi. Unasubiri nje Kama lile la kirumi. TARIME/ musoma jamani wee! walikuwa wanajenga usiku tu. Hapo ni baada ya company kibao kushindwa.
Sasa inakuaje utake uthibitisho wa kitu ambacho umekijua?This is fallacy.
Ukisha pata uthibitisho wa kitu fulani unakua umepata ujuzi (kujua). Uthibitisho hutangulia kabla ya ujuzi, uthibitisho ni njia ya kuufikia ujuzi. Sasa inakuaje utake uthibitisho wa kitu ambacho umekijua?
Sasa hapo ni tatizo lako kutoweza kuthibitisha jambo ambalo unalijua. Na kwa pointi hiyo umekosa vigezo vya kumfanya mwingine ajue
Nataka kujua unaweza kuthibitisha uchawi upo au hujui kuthibitisha?
Kwani wewe unaelewa vp neno "jadi"? Unavyojua wewe ni kwamba hakuna tiba za jadi ambazo zinahusu ushirikina? Issue hapa ni aina ya tatizo kama tatizo ni limesababishwa na uchawi basi litatatuliwa kama tatizo la kichawi,iwe kwa kutumia njia jadi ama si ya jadi.Watu wengi tu wanatibiwa kwa njia za jadi bila kwenda hospital na wanapona. Kipi cha ajabu hapo hadi useme uchawi?
Kuhakiki na kuthibitisha ni mambo mawili yanayoonekana kufanana lakini kiutendaji yanautofautianaSasa inakuaje utake uthibitisho wa kitu ambacho umekijua?
Nimeshasema hili kuwa kwa kifupi uthibitisho ni kuhakiki na hauwezi kuhakiki usichokifahamu. Kujua hakuna maana ya kwamba unachokijua ndio ukweli na si vinginevyo,ndio maana kuhakiki(kuthibitisha)
Kuhakiki na kuthibitisha ni mambo mawili yanayoonekana kufanana lakini kiutendaji yanautofautiana
Kuhakiki (verify) ni kuangalia maelezo kujua kama hoja ni ya kweli, ambayo maelezo hayo ni uthibitisho uliopewa kuhusiana na kitu usichokijua
Kuthibitisha ni kuonesha kitu fulani ni kweli kwa kutafuta maelezo mwenyewe tofauti na kuhakiki ambapo unachukua taarifa ulizopewa ambazo ni uthibitisho
Kwa hiyo mimi ukinithibitishia uchawi upo utakua umefanya attempt moja ya kutoa uthibitisho kisha baada ya hapo tutaingia zoezi la pili la kuhakiki huo uthibitisho ili tuone kama kweli ni uthibitisho wa kweli na kuanzia hapo nitakua nishajua
Unaweza kuthibitisha uchawi upo?
Thibitisha
Definition ya kwanza ya kuhakiki umeielewa vipi?"Kuthibitisha ni kuonesha kitu fulani ni kweli kwa kutafuta maelezo mwenyewe"
Unaweza ukafafanua ulichokieleza hapo?