Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.

Nini kinawafanya wajiamini hivi?

Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.

 
Hapo ni ile kona ya mtaa wa Calle la Feliz ukikunja hapo mbele unaingia ufukweni, ukirudi walipotokea unakua unaenda Pablo De La Luna kuna bonge moja la danguro. Ibiza moja hiyo umenikumbusha mbali sana mwaka 2006 ndo niliota nipo Ibiza
 
Hii ni staged japo ndio utamaduni wao.

Ila mkuu juzi tu hapa miaka 100 iliyopita mbona tz watu walifunika vikojoleo tu na maisha yaliendelea? Tena akina mama hata maziwa hawakufunika.

Hawa wameamua kuwaunga mkono mababu zao.
 
Maadili hakuna? Kwahiyo ukiiba ukiua hukamatwi?
Tofautisha maadili na makosa mkuu...maadili yanaitwa ethics kwa kingereza ambapo.

Ethics ni kanuni na taratibu za kuishi zinazowekwa na jamii husika wao hawana kipengele cha kwamba tunatakiwa tuvae hivi gufanye hichi na hichi ambapo sisi huku nasema tonacomplete set ambayo yenyewe ni closed na ina tofautiana kutokana na mazingira unaweza kuta wangoni wanakwambia hichi ni kinyume cha maadili wahaya wakawa wanafanya ila kwao hakuna hicho kitu, et ukute mzungu wa Australia anafanya alafu wa ufaransa aseme hichi hapana ila kipengere cha makosa wakuna jamii ambayo inasema ukiiba sio kosa ukiua sio kosa, nadhani nimeeleweka hapo
 
Hawa jamaa si binadamu wa kawaida linapokuja suala la aibu.
Nakumbuka hapo zamani tulikuwa sehemu na hawa jamaa toka Melbourne 🦘 wakifanya kitu inaitwa sunbathing kwenye mawe. Mzee mzungu mwenye familia yake akawa anapiga gitaa lake huku mguu mmoja ukiwa kwenye jiwe kama ilivyo hapa chini:
images (3).jpeg

Kwa kuwa mzee alikuwa na kitu kama boxer tu, kende zikawa zimepata upenyo halafu binti yake mkubwa tu akaziona akamwendea akazishika na kuzirudisha.

Mzungu baba aligeuka na kusema 'Ooh, thank you!" huku akiendelea kutoa burudani kwa kucharaza gitaa na kusindikiza mlio wake kwa wimbo.


Sasa sijui angekuwa baba mkurya kashikwa kende na bintiye ingekuwaje!
 
Usijangaike nao sana we jaribu kupause video kwa secunde 3.50... maridadi kabisaa yaani
 
I think hawana msisimko wa kutosha, so its OK for them.

Huku kwetu wadada wakivaa hivo vidume vitashindwa kutembea, maana ashki itakuwa ya kutosha na wale waliojaza vichupa watajiharibia sana
 
Ndio democracy hio mzee
Masuala binafsi ni yako ww mwenyewe
 
Hapo ni ile kona ya mtaa wa Calle la Feliz ukikunja hapo mbele unaingia ufukweni, ukirudi walipotokea unakua unenda Pablo De La Luna kuna bonge moja la danguro. Ibiza moja hiyo umenikumbusha mbali sana mwaka 2006 ndo niliota nipo Ibiza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti niliota
 
Ni kawaida hiyo kwao , wamezoeshwa hivyo.

Wapo wenye mauombo tatanishi na wanavaa hivyo, nchi kama brazil wadada wake ni wamejaziana kama wabantu lakini huvaa hivyo pia.
Ni utamaduni wao tu na kwao hiyo ni kawaida.
I think hawana msisimko wa kutosha, so its OK for them.

Huku kwetu wadada wakivaa hivo vidume vitashindwa kutembea, maana ashki itakuwa ya kutosha na wale waliojaza vichupa watajiharibia sana

Maungo ya wanawake wa kizungu hayatamanishi.
Hebu atembee nusu uchi mdada wa kibantu aliye kula ndizi na kushiba uone watu watakavyotia mikono mifukoni.

Hawana matako, wako flat screen
 
Back
Top Bottom