Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

Ni kawaida hiyo kwao , wamezoeshwa hivyo.

Wapo wenye mauombo tatanishi na wanavaa hivyo, nchi kama brazil wadada wake ni wamejaziana kama wabantu lakini huvaa hivyo pia.
Ni utamaduni wao tu na kwao hiyo ni kawaida.
Namaanisha wanaume hawana ashki kama zetu,
wanawake ni wazuri, hawana shida, ila wanaume hawana ashki, I belive hata wakitembea uchi, bado wanaume hawatapapatika saaana
 
Hii ni staged japo ndio utamaduni wao.

Ila mkuu juzi tu hapa miaka 100 iliyopita mbona tz watu walifunika vikojoleo tu na maisha yaliendelea? Tena akina mama hata maziwa hawakufunika.

Hawa wameamua kuwaunga mkono mababu zao.


Si ndio hapo sasa.
 
Hii ni staged japo ndio utamaduni wao.

Ila mkuu juzi tu hapa miaka 100 iliyopita mbona tz watu walifunika vikojoleo tu na maisha yaliendelea? Tena akina mama hata maziwa hawakufunika.

Hawa wameamua kuwaunga mkono mababu zao.
Miaka 100 ni juzi mkuu?
You must be kidding..
 
Mavazi ni suala la utamaduni, wao wapo comfortable na hawana shida yoyote, wapo wanaojifunika nguo gubigubi nao ni tamaduni za kuiga wageni lakini matukio ya sexual harassment nayo yanashamiri kwenye jamii hizo ijapokuwa ukukutana nao wanajieleza kuwa kuvaa hivyo ni bullet proof ya tamaa
 
Hao viu.be wamekosa ustaarabu ninao huku mtaani kwangu yaan Ni aibu Sana..halafu hawaoni aibu hata kidogo
 
download-3.jpg
download-5.jpg

Hizi ni picha za CR7 na mama ake

Hawa watu sijui wanawezaje,kuna baba aliwahi lala na mwanae wa kike mpaka asubuhi na binti kamkumbatia baba
 
Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.

Nini kinawafanya wajiamini hivi?

Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.

View attachment 2240410
Ni jamii iliyostaarabika.
Ukiwa kwao kila mtu anajali mambo yake..kuhusu mavazi wao hawana tabia ya kufuatiliana kama huku tangagiza.

Ikiacha kwao Ulaya..hata hapa Nairobi mabinti kutembea nusu uchi ni kawaida tu.

Siajabu kumuona binti kavaa blauzi inayofikia matakoni na chupi peke yake.
 
Back
Top Bottom