Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.

Nini kinawafanya wajiamini hivi?

Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.

View attachment 2240410
Hawa nao ni wazungu?
0405E0AA-BB4C-48BA-81A6-72A2D5212BA1.jpeg
 
kutembea uchi kwa sababu ya kula nguruwe inaondoa aibu. hata kama hukutembea uchi lakini uroda uzinzi utaona jambo la kawaida
 
Maadili hakuna? Kwahiyo ukiiba ukiua hukamatwi?
Ina maana mpaka umri huo hujui tofauti ya maadili na jinai?
Uzinzi ni utovu wa maadili hapa kwetu ila ukizini na under age au bint yako ni jinai
 
Tatizo lenu waafrika mna akili fupi sana..
Umesahau jamii za kiafrika watu wanatembea uchi na nyoyo wazi?
 
Ndio maana hawavutii mwanamke kujistiri bidhaa sio kila mtu kuoneshwa akipita hapo mwa Africa au Mwarabu lazima utoe macho sababu bidhaa adimu ila hawa hakuna kitu. Maoni yangu haya
Hiyo kwenye kuvitia kaka hujakutana na pisi Kali za kizungi tuulize sie tulio kwenye utalii pisi tinazokutana nazo halafu uone kama warembo wetu maarufu watakusumbua tena
 
Hapo ni karibu sana na Beach
Hapo wamekuja kula au kutembea tu
Ukifika duniani kwenye bata hii ni kawaida sana hata mimi huwa natembea kufua wazi na bukta wakati sehemu nyingine huwezi
Hakuna kubakwa kila mmoja ana heshimu haki ya mwenzie

Tembea uone dunia yakheee
 
Ina maana mpaka umri huo hujui tofauti ya maadili na jinai?
Uzinzi ni utovu wa maadili hapa kwetu ila ukizini na under age au bint yako ni jinai
So mfano Yemen au Afghanistan ambako ukizini haijalishi with underage or not ni unashtakiwa.

Hawa unawaelezeaje?
 
Hiyo kwenye kuvitia kaka hujakutana na pisi Kali za kizungi tuulize sie tulio kwenye utalii pisi tinazokutana nazo halafu uone kama warembo wetu maarufu watakusumbua tena
Kwangu mrembo ni mke wangu sasa usumbufu wa nini unaongelea wewe. Mwanamke staha bwana huwezi kutamani changudoa anayejiuza barabarani kavaa nusu uchi hata awe mzuri kiasi gani. Mwanammke kutwa anatembea uchi mwisho unamuona wa kawaida hana jipya mambo mengine yanaoneshwa faragha. Mimi sijasema hakuna wazuri wako wengi tu lakini kitendo cha kutembea uchi kinaondoa shauku ya mtu kwa mtu huo ndio ukweli.
 
Kutembea nusu Uchi sio Maadili? Vipi wanao funika mwili wote lakini wanafanya mbo ya hovyo zaidi
Ni tamaduni zao watu wa Ulaya naAmerica, wao kukaa uchi kwenye familia nijambo lakawaida ni Sawa nasisi waTanzania ningumu Sana kuwakuta wazaz waki kumbatiana adharani au kutembea wakiwa wameshikana mikono wakienda harusini au msibani, na Sisi wa Africa hatuna utamaduni wakutembea pamoja na wake.
 
tofautisha maadili na makosa mkuu...maadili yanaitwa ethics kwa kingereza ambapo
ethics ni kanuni na taratibu za kuishi zinazowekwa na jamii husika wao hawana kipengele cha kwamba tunatakiwa tuvae hivi gufanye hichi na hichi ambapo sisi huku nasema tonacomplete set ambayo yenyewe ni closed na ina tofautiana kutokana na mazingira unaweza kuta wangoni wanakwambia hichi ni kinyume cha maadili wahaya wakawa wanafanya ila kwao hakuna hicho kitu, et ukute mzungu wa Australia anafanya alafu wa ufaransa aseme hichi hapana ila kipengere cha makosa wakuna jamii ambayo inasema ukiiba sio kosa ukiua sio kosa, nadhani nimeeleweka hapo
Ethics ni study of morality,, moral codes and values ndo taratibu
 
Hii ni eccentric behavior. Watu wanataka kuonekana tofauti kidogo. Especially teenagers. Wanafanya haya mambo, usually harmless. Ukiwachukulia seriously,utaingia hasara.
By the way,nasikia kuna soko huko lingine linaungua sasa hivi.
 
Back
Top Bottom