Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
maadili ni nini?Maisha yao hawana kitu kinachoitwa maadili,Wao wana kitu kinaitwa utandawazi ndo maana kila unachokiona cha ajabu kwenye jamii yetu mzungu anafanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maadili ni nini?Maisha yao hawana kitu kinachoitwa maadili,Wao wana kitu kinaitwa utandawazi ndo maana kila unachokiona cha ajabu kwenye jamii yetu mzungu anafanya
Na watindiga wanajiamini nini mpaka kutembea uchi.Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.
Nini kinawafanya wajiamini hivi?
Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
View attachment 2240410
Hawa nao ni wazungu?Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.
Nini kinawafanya wajiamini hivi?
Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
View attachment 2240410
hapo sasaHawa nao ni wazungu?View attachment 2242525
Porini hakuna wivuNa watindiga wanajiamini nini mpaka kutembea uchi.
Chinga nae bana huoni hao wako kwenye tukio maalum maana wote wako uniformHawa nao ni wazungu?View attachment 2242525
Kwahiyo wasukuma wote wakitembea uchi mjini Mwanza tutawasifu kwani watakuwa kwenye tukio maalumu.Chinga nae bana huoni hao wako kwenye tukio maalum maana wote wako uniform
Kutembea nusu Uchi sio Maadili? Vipi wanao funika mwili wote lakini wanafanya mbo ya hovyo zaidiMaisha yao hawana kitu kinachoitwa maadili,Wao wana kitu kinaitwa utandawazi ndo maana kila unachokiona cha ajabu kwenye jamii yetu mzungu anafanya
Haijalishi uko wapi,kutembea uchi hadharani ni kutembea uchi tu.Chinga nae bana huoni hao wako kwenye tukio maalum maana wote wako uniform
Ina maana mpaka umri huo hujui tofauti ya maadili na jinai?Maadili hakuna? Kwahiyo ukiiba ukiua hukamatwi?
Hiyo kwenye kuvitia kaka hujakutana na pisi Kali za kizungi tuulize sie tulio kwenye utalii pisi tinazokutana nazo halafu uone kama warembo wetu maarufu watakusumbua tenaNdio maana hawavutii mwanamke kujistiri bidhaa sio kila mtu kuoneshwa akipita hapo mwa Africa au Mwarabu lazima utoe macho sababu bidhaa adimu ila hawa hakuna kitu. Maoni yangu haya
So mfano Yemen au Afghanistan ambako ukizini haijalishi with underage or not ni unashtakiwa.Ina maana mpaka umri huo hujui tofauti ya maadili na jinai?
Uzinzi ni utovu wa maadili hapa kwetu ila ukizini na under age au bint yako ni jinai
Kwangu mrembo ni mke wangu sasa usumbufu wa nini unaongelea wewe. Mwanamke staha bwana huwezi kutamani changudoa anayejiuza barabarani kavaa nusu uchi hata awe mzuri kiasi gani. Mwanammke kutwa anatembea uchi mwisho unamuona wa kawaida hana jipya mambo mengine yanaoneshwa faragha. Mimi sijasema hakuna wazuri wako wengi tu lakini kitendo cha kutembea uchi kinaondoa shauku ya mtu kwa mtu huo ndio ukweli.Hiyo kwenye kuvitia kaka hujakutana na pisi Kali za kizungi tuulize sie tulio kwenye utalii pisi tinazokutana nazo halafu uone kama warembo wetu maarufu watakusumbua tena
Ni tamaduni zao watu wa Ulaya naAmerica, wao kukaa uchi kwenye familia nijambo lakawaida ni Sawa nasisi waTanzania ningumu Sana kuwakuta wazaz waki kumbatiana adharani au kutembea wakiwa wameshikana mikono wakienda harusini au msibani, na Sisi wa Africa hatuna utamaduni wakutembea pamoja na wake.Kutembea nusu Uchi sio Maadili? Vipi wanao funika mwili wote lakini wanafanya mbo ya hovyo zaidi
Ethics ni study of morality,, moral codes and values ndo taratibutofautisha maadili na makosa mkuu...maadili yanaitwa ethics kwa kingereza ambapo
ethics ni kanuni na taratibu za kuishi zinazowekwa na jamii husika wao hawana kipengele cha kwamba tunatakiwa tuvae hivi gufanye hichi na hichi ambapo sisi huku nasema tonacomplete set ambayo yenyewe ni closed na ina tofautiana kutokana na mazingira unaweza kuta wangoni wanakwambia hichi ni kinyume cha maadili wahaya wakawa wanafanya ila kwao hakuna hicho kitu, et ukute mzungu wa Australia anafanya alafu wa ufaransa aseme hichi hapana ila kipengere cha makosa wakuna jamii ambayo inasema ukiiba sio kosa ukiua sio kosa, nadhani nimeeleweka hapo