Hawa jamaa si binadamu wa kawaida linapokuja suala la aibu.
Nakumbuka hapo zamani tulikuwa sehemu na hawa jamaa toka Melbourne 🦘 wakifanya kitu inaitwa sunbathing kwenye mawe. Mzee mzungu mwenye familia yake akawa anapiga gitaa lake huku mguu mmoja ukiwa kwenye jiwe kama ilivyo hapa chini:
View attachment 2240437
Kwa kuwa mzee alikuwa na kitu kama boxer tu, kende zikawa zimepata upenyo halafu binti yake mkubwa tu akaziona akamwendea akazishika na kuzirudisha.
Mzungu baba aligeuka na kusema 'Ooh, thank you!" huku akiendelea kutoa burudani kwa kucharaza gitaa na kusindikiza mlio wake kwa wimbo.
Sasa sijui angekuwa baba mkurya kashikwa kende na bintiye ingekuwaje!