Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Maadili hakuna? Kwahiyo ukiiba ukiua hukamatwi?Maisha yao hawana kitu kinachoitwa maadili,Wao wana kitu kinaitwa utandawazi ndo maana kila unachokiona cha ajabu kwenye jamii yetu mzungu anafanya
hivyo ni vitu vinavyowadhuru watu wengine.Maadili hakuna? Kwahiyo ukiiba ukiua hukamatwi?
Tofautisha maadili na makosa mkuu...maadili yanaitwa ethics kwa kingereza ambapo.Maadili hakuna? Kwahiyo ukiiba ukiua hukamatwi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti niliotaHapo ni ile kona ya mtaa wa Calle la Feliz ukikunja hapo mbele unaingia ufukweni, ukirudi walipotokea unakua unenda Pablo De La Luna kuna bonge moja la danguro. Ibiza moja hiyo umenikumbusha mbali sana mwaka 2006 ndo niliota nipo Ibiza
I think hawana msisimko wa kutosha, so its OK for them.
Huku kwetu wadada wakivaa hivo vidume vitashindwa kutembea, maana ashki itakuwa ya kutosha na wale waliojaza vichupa watajiharibia sana
Maungo ya wanawake wa kizungu hayatamanishi.
Hebu atembee nusu uchi mdada wa kibantu aliye kula ndizi na kushiba uone watu watakavyotia mikono mifukoni.
Hawana matako, wako flat screen