Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Usisahau pia wanawake wa kichaga (hasa warombo) nao huwa hawatamanishi kabisa 😄Maungo ya wanawake wa kizungu hayatamanishi.
Hebu atembee nusu uchi mdada wa kibantu aliye kula ndizi na kushiba uone watu watakavyotia mikono mifukoni.
Namaanisha wanaume hawana ashki kama zetu,Ni kawaida hiyo kwao , wamezoeshwa hivyo.
Wapo wenye mauombo tatanishi na wanavaa hivyo, nchi kama brazil wadada wake ni wamejaziana kama wabantu lakini huvaa hivyo pia.
Ni utamaduni wao tu na kwao hiyo ni kawaida.
wana helaUkitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.
Nini kinawafanya wajiamini hivi?
Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
View attachment 2240410
Hii ni staged japo ndio utamaduni wao.
Ila mkuu juzi tu hapa miaka 100 iliyopita mbona tz watu walifunika vikojoleo tu na maisha yaliendelea? Tena akina mama hata maziwa hawakufunika.
Hawa wameamua kuwaunga mkono mababu zao.
Miaka 100 ni juzi mkuu?Hii ni staged japo ndio utamaduni wao.
Ila mkuu juzi tu hapa miaka 100 iliyopita mbona tz watu walifunika vikojoleo tu na maisha yaliendelea? Tena akina mama hata maziwa hawakufunika.
Hawa wameamua kuwaunga mkono mababu zao.
Sio Zamani kivile.Miaka 100 ni juzi mkuu?
You must be kidding..
Kama Huyu anajiamini nini[emoji849][emoji2959]Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.
Nini kinawafanya wajiamini hivi?
Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
View attachment 2240410
Mzungu alikua hajui kama po#%$ hub wako location nn😀😀😀Kama Huyu anajiamini nini[emoji849][emoji2959]View attachment 2240786
Kama Huyu anajiamini nini[emoji849][emoji2959]View attachment 2240786
Kwani Ashura Ally anasemaje?Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.
Nini kinawafanya wajiamini hivi?
Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
View attachment 2240410
Joto, summer hiyo. Kwao ni jambo la kawaida tuuUkitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.
Nini kinawafanya wajiamini hivi?
Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
View attachment 2240410
Siyo wote baadhi Yao wanapo vizur kweliHawana matako, wako flat screen
Ni jamii iliyostaarabika.Ukitazama kwa uzuri kabisa utaona hawa watu wako karibia uchi kabisa na wanadunda mitaani bila kuhofia kitu.
Nini kinawafanya wajiamini hivi?
Kwenye hio video huyo dada kaanguka chini yani mpaka aibu.
View attachment 2240410
cocastic atapapatika sanaNamaanisha wanaume hawana ashki kama zetu,
wanawake ni wazuri, hawana shida, ila wanaume hawana ashki, I belive hata wakitembea uchi, bado wanaume hawatapapatika saaana