Wazungu wanajiamini nini mpaka kutembea nusu uchi hadharani?

Interesting!!!!
 
Maisha yao hawana kitu kinachoitwa maadili,Wao wana kitu kinaitwa utandawazi ndo maana kila unachokiona cha ajabu kwenye jamii yetu mzungu anafanya
hicho unachoona maadili tumeiga kutoka kwao na huo utandawazi wameiga kutoka kwetu.
Jamii nyingi za kiafrika hasa za chini ya jangwa la sahara "uchi" ulikuwa ni viungo vya uzazi (dhakari na k#ma) pamoja na njia ya aja kubwa (mk#ndu) lakini chuchu, mapaja, tumbo havikuonekana kuwa ni uchi vinapokuwa wazi.

Kwaiyo usiseme hawana maadili kwa kuiga tamaduni yako.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hapo ni ile kona ya mtaa wa Calle la Feliz ukikunja hapo mbele unaingia ufukweni, ukirudi walipotokea unakua unaenda Pablo De La Luna kuna bonge moja la danguro. Ibiza moja hiyo umenikumbusha mbali sana mwaka 2006 ndo niliota nipo Ibiza
Ibiza ya buza au๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wazungu hawana nyege mkuu ndio maana wao mtoto mmoja wawili mwisho tena kwakujiforce. Hata ivo huko watu wengi ingekua bongo vichochoro vingi ubakaji ungekua njenje
 
Biashara ya madera inaweza lipa Sana tununue tuwapelekee
 
Hao mbona wamevaa, vipi kuhusu wale nudist. Na ipo mitaa na beach uruhusiwi kuvaa nguo mnaenda uchi.
 
Awaweki ngono kipaumbele chao, maana ngono kwao ni SAwa na maji ya kunywa
 
Hawana mvuto, hat wapite uchi hawashtui zaidi wanachekesha
 

Attachments

  • Screenshot_20220528_194940.jpg
    93.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220528_194940.jpg
    93.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220528_194925.jpg
    91.1 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ