Wazungu wanatengeneza bomu ambalo siku moja hawataweza kulitegua. Wasauzi washaanza kunywea bado wao sasa.

Wazungu wanatengeneza bomu ambalo siku moja hawataweza kulitegua. Wasauzi washaanza kunywea bado wao sasa.

FORBIDDEN HISTORY

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2024
Posts
202
Reaction score
521
20260702_075816.jpg

20260702_075812.jpg
 
Ni swala la muda tu, western countries watakinywea. Hii kitu ya kukaribisha wakimbizi kupita kawaida, kuruhusu kusambaa kwa imani nyingi kutawatokea puani in no time.
 
Utumbo gani umeandika hapa 🚮 🚮 🚮
Mtoa mada ametumia lugha ya picha ila anamaanisha imeshaanza kua kawaida kwa mataifa ya ulaya na marekani kuwakilishwa na watu wenye asili ya Africa na mabara mengine katika tasnia kadhaa muhimu ,hivyo culture interaction itapelekea wazungu kupoteza identity zao za asili na WA Africa na Asia wanatake over nyanja muhimu katika mataifa ya ulaya na marekani ..Mfano timu ya taifa ya uingereza sasa imejaa watu weusi , hakujawahi kua na m UK mweusi , lakini ni juzi tu uingereza ilikua na waziri mkuu muhindi ambaae wazazi wake walizaliwa Tanzania,ona mataifa mengine ya ulaya na wakazi wake
 
Mtoa mada ametumia lugha ya picha ila inamaanisha imeshaanza kua kawaida kwa mataifa ya ulaya na marekani kuwakilishwa na watu wenye asili ya Africa na mabara mengine katika tasnia kadhaa muhimu ,hivyo culture interaction itapelekea wazungu kupoteza identity zao za asili na WA Africa na Asia wanatake over nyanja muhimu katika mataifa ya ulaya na marekani ..Mfano timu ya taifa ya uingereza sasa imejaa watu weusi , hakujawahi kua na m UK mweusi , lakini ni juzi tu uingereza ilikua na waziri mkuu muhindi ambaae wazazi wake walizaliwa Tanzania,ona mataifa mengine ya ulaya na wakazi wake
Mwenye akili atakuelewa.

Mpumbavu ataleta mihemuko.
 
Nipe miaka ishirini ijayo ulaya itakuwa kama Lebanon. Marekani ameshtuka ila kachelewa sana
 
Mtoa mada ametumia lugha ya picha ila anamaanisha imeshaanza kua kawaida kwa mataifa ya ulaya na marekani kuwakilishwa na watu wenye asili ya Africa na mabara mengine katika tasnia kadhaa muhimu ,hivyo culture interaction itapelekea wazungu kupoteza identity zao za asili na WA Africa na Asia wanatake over nyanja muhimu katika mataifa ya ulaya na marekani ..Mfano timu ya taifa ya uingereza sasa imejaa watu weusi , hakujawahi kua na m UK mweusi , lakini ni juzi tu uingereza ilikua na waziri mkuu muhindi ambaae wazazi wake walizaliwa Tanzania,ona mataifa mengine ya ulaya na wakazi wake
UK ina watu 70m na watu weusi hawazidi 3m. Baada ya miaka mingapi idadi itakuwa sawa? Mnadanganywa na picha za East London.
 
Back
Top Bottom